Je, Ni kweli kuwa Ukristo (Christianity) ulianzishwa na Yesu, ?
Biblia inatueleza kuwa Ukristo kwa mara ya kwanza ulianza pale Antiokia ambayo iko katika bara la Ulaya (soma Matendo ya mitume 11:26) miaka kadhaa baada ya Yesu kuwa amekwisha kamilisha kazi aliyotumwa na Baba yake hapa duniani.
Ikumbukwe hapa kuwa Yesu hakuwahi kufika Antiokia katika maisha yake yote ya hapa duniani.
Na aliwakataza kabisa wanafunzi wake kupeleka mafundisho yake nje ya Israel (soma Mathayo: 10:5-6).
Hakuna hata sehemu moja katika Biblia tunapofahamishwa kuwa Yesu alileta mfumo mpya wa maisha hususan Ukristo.
Yesu mwenyewe anatufahamisha kuwa hakuja kutangua mfumo alioukuta uliokuwepo toka wakati wa nabii Musa (ambao sio Ukristo), bali kuutimiliza (Mathayo: 5:17-20).
Na kwa Wayahudi peke yao, na wala sio kwa Wazungu au Waafrika au Wahindi au makabila mengine (Gentiles) ya ulimwengu huu (Mathayo 14:21-28).
Ukristo umeasisiwa na Sauli ambaye ndie Paulo. Katika mazingira ya kutatanisha bila ya kuwepo ushahidi wa kuaminika, Paulo alidai kupewa Utume na Yesu mwenyewe katika Njozi.
MOJA YA MATUNDA YA UKRISTO NI HAYA
PASTOR AMZIDIWA NA DAMU YA YESU AMECHOKA KUTOA MAJINI KAAAMUA KUSHUGHULIKIA MBOGA
Pastor Gordon Yeboah Caught Having Intercourse With Pregnant Sheep. | NEWSPITTER
PASTOPR MWENGINE KALIGEUZA KANISA KUWA NYUMBA YA KUFANYIA NGONO DAMU YA YESU IMEMCHEMKA SANA
Pastor And Choir Mistress Caught Having Sex Inside Church : The Nigeria Today
mkuu nijuacho ni kuwa mmefundishwa kupingaa majaribu yoyote ya kukuaminisha kwenye ukristo. matter fact ni kuwa, ukristo sio ushoga, kama mnachoona, i believe deep inside mnajua hilo. but mnaweka shingo ngumu kukubali reality. mnaamini dini ya kweli inashinda kwa ku-kampeni, something which is negative.
matendo ya mitume miaka ya mwanzo ya ukristo ndio kiashiria halisi cha imani ya ukristo sio watu baki wa leo wanaojaribu kubadilisha mambo. kristo hakuleta dini. usijidanganye kuwa ukristo ni kuwa katika dini, bali fahamu ukristo ni maisha ya kumfuata yesu kristo. unabii haupingani na tunachoona leo kuwa roho ya mpinga kristoinazidi kuongezeka.
Neno MPINGA KRISTO linaweza likapatikana mara
5 tu, kwenye Maandiko yote, ni kama nyaraka za
mtume Yohana
1. Yohana 2:18 ..... KAMA VILE MLIVYOSIKIA
YA KWAMBA MPINGA KRISTO YA UAJA……
1. Yohana 2:18..... HATA SASA WAPINGA KRISTO WENGI
WAMEKWISHA KUWAPO
1. Yohana 2:22 ..... YEYE AKANAYE YA KUWA YESU NI
KRISTO HUYO NDIYE MPINGA KRISTO
1. Yohana 4:3 ..... NA HII NDIYO ROHO YA MPINGA KRISTO
2. Yohana 7 ........ WADANGANYIFU WENGI..... WASIOKIRI
YA KUWA YESU KRISTO YU AJA KATIKA
MWILI HUYO NDIYE YULE MDANGANYIFU
NI MPINGA KRISTO
KILA ROHO (MTU) ISIYOKIRI KWAMBA YESU
KRISTO AMEKUJA KATIKA MWILI, HAITOKANI NA
MUNGU; NA Hll NDIYO ROHO YA MPINGA KRISTO,
AMBAYO MMEISIKIA KWAMBA YAJA; SASA
IMEKWISHAKUAKO DUNIANI.