A
Anonymous
Guest
Kero yangu ni kuona Askari wa Jeshi la Zimamoto wakifanya kazi za kuuza na ku-service mitungi ya kuzima moto, badala ya kubaki kwenye jukumu lao la ukaguzi. Hali hii inatuathiri sisi wenye vibali vya kufanya biashara hiyo.
Hasa Mkoa wa Kinondoni, askari wamekuwa wakiwalazimisha wananchi kutoa mitungi yao ili ifanyiwe service kwa gharama kubwa, huku kila mmoja akiwa na bei yake bila gharama rasmi kuwekwa wazi.
Naomba Jeshi la Zimamoto liache kuuza vifaa vya kuzimia moto na kufanya huduma za service, libaki kwenye jukumu la ukaguzi badala ya kufanya biashara ambazo sisi wenye vibali tunaruhusiwa kufanya.