Amani Ngailo
Member
- Jun 2, 2024
- 5
- 2
Nashauri bajeti ya Wizara ya Ulinzi iongezwe kwa kiasi kikubwa sana, ili kuliwezesha jeshi letu kwenda na kasi ya maendeleo ya kijeshi duniani. Pia vigezo vya kujiunga na jeshi viangaliwe. Yaani muda wa mazoezi ya ukakamavu upunguzwe kidogo, kisha jeshi likazane katika kuajiri watu watakaoleta innovation ndani ya jeshi na kulifanya jeshi letu liweze kujitegemea lenyewe.
Mpaka lini tutakuwa tunaagiza silaha wakati wataalamu tunao, inabidi tu wapewe uwezo na fedha. Inatakiwa jeshi lijitegemee kabisa. Tuige kwa China ambao jeshi lao lina kila kitu na linajitegemea pia tuige kwa nchi ambazo nusu ya bajeti ya serikali huelekezwa kwenye sekta ya ulinzi. Inabidi jeshi letu liweze kuimarisha ulinzi wa ardhi,anga,majini na ulinzi wa kimtandao.
Pia ufanyike uwekezaji mkubwa wa AI (Artificial Intelligence) katika majeshi yetu ili wanajeshi wetu wawe wenye akili kichwani na ukakamavu wa mwili kama ilivyo kwa sasa.

Upvote
0