Tempon
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 234
- 383
Wakuu Jeshi ni Moja ya kitu muhimu sana kwa ustawihi wa Taifa lolote ulimwenguni tumekuwa tukishuhudia Budgets kubwa kabisa mataifa mbalimbali zikielekezwa katika majeshi, Ili uwe safe na jeshi salama basi kwa ulimwengu wa kileo unahitaji Technology mbalimbali , Era au Zama za kutumia Nguvu zinapitwa na muda Tech ina take over kila Anga.
Back to the Topics sifahamu sana in details kama Military Camps or academy zetu Zina Hub mbalimbali kwa ajiri ya innovation, Mataifa endelevu yamekuwa na project mbalimbali ambapo inaaminika vifaa vingo vya technology huanzia majeshi hata internet hii tunayoitumia ilikuwa project ya Jeshi la marekani japo leo iko duniani kote, Ningependa kujua Je majeshi yetu yana mifumo gani na Technology zipi ambazo huwawezesha kufanikisha sitaki kuamini kama utakuwa safe kwa kutumia branded gadgets kama huawei au Nokia kuwasiliana at least uki order components na kuifanyia assembly unaweza kuwa safe.