Jeshi letu linafanya Vumbuzi Gani Katika Academy Zake!

33953f30b67b99855997b28098b2b870.jpg
ab4b285da6a1869d102de4d3c2ab135c.jpg

slow but sure, inaleta matumaini
 
Hakuna kilicho vumbuliwa na jwtz!! Ingawa wanapekekaga watu nje kusoma military science
tatizo wanachaguana kwa kujuana mrad tuu mtu aende nje akrud ela /cheo kiongezeke
Pia serkal haina budgets za research tena kama jeshini sjawah kukisikia kabisaaaaaa
 
Ni lazima Jeshi libadilike sasa maana Kununua Full packages gadgets kuna punguza security ya ivo vitu mnavyonunua mana mtajua tu matumizi yake bila kujua technology iliyopo ndani yake, Ni wazi serikali yetu ili fund Jeshi na kuanzisha Research ya mambo mbalimbali, Miaka ya nyuma jeshi letu likikuwa imara na lilichanua mno kwa sifa kede kede barani Humu ,Dunia ime change kiuhalisia Technology ina take over Sana sana majeshini
 
Yup knatakiwa kitengo cha research ambacho kitashirkisha RAIA pia ma doctor na professors wetu
Lianzishwe shirika jipya la kijasusi

Hatujachelewa maana kwa technology ilpofkia tuna mwanzo mzuri
tec inaibiwa tec INA copiwa tec inaboreshwa
AF tutengee is shughuli mapato ya faini za barabaran unafkir ttakua WAP in next5 years to come?
 
Kwani jeshi la Tanzania huwa linaruhusiwa kujadiliwa mitandaoni? Ngoja nikasome katiba vizuri kama vipo vifungo vitakavyo niruhusu....
w.jpe
 
nyingi tuuuuuuuuu kama kuvunja matofali....kuruka na parachutiiiiiiiiiii.................kutembea kwenye mooooto au ww hua huon pale taifa?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji1]
 
Back
Top Bottom