Jeshi letu si yo la vibaka

Hao ni panya road tu, na hapo Goma hawamalizi mwezi
Hahahahahaha nyie juzi si ndo mlisema JWTZ imeshapeleka vikosi kumaliza kazi? Imekuwaje tena leo hii uwape mwezi? Panya road wapo kwao,acha waenjoy
 
Hahahahahaha nyie juzi si ndo mlisema JWTZ imeshapeleka vikosi kumaliza kazi? Imekuwaje tena leo hii uwape mwezi? Panya road wapo kwao,acha waenjoy
Kupigana na watu waliotapakaa na hawaeleweki wapo andaki lipi inahitaji muda na akili, mmoja mmoja watachomolewa hao..
 
Hivi jeshi la kenya liko wapi? Nilisikia nao walipeleka walinda amani. Tusisikie tena mtu ana tamba yeye ndie anaongoza kijeshi Afrika mashariki, wakati akisikia risasi, ana acha silaha zote na magari, mbio zinamwokoa
 
Kupigana na watu waliotapakaa na hawaeleweki wapo andaki lipi inahitaji muda na akili, mmoja mmoja watachomolewa hao..
Basi, wape muda, mwezi utakuwa hautoshi. Unapowasubili watoke kwenye hizo handaki zao, kumbuka pia wanapokuwa kwenye hizo handaki zao na wao wanapika.

Wameanza na AK-47. Leo hii wana Helicopta na Sukoi, na vingine vingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…