MBOKA NA NGAI
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 350
- 576
View: https://x.com/wembi_steve/status/1887483008644530453
Kama kuna mtu anakaa kwenye nyumba ambayo si yake;na si ya serikali
kama kuna mtu anatumia gari lisilo lake,tunamuomba alikabidhi.
Mpaka sasa, magari 14 yamesharudishwa mikononi mwa wenyewe. Jeshi letu ni la kitaalam, hatuwaibii watu.