Jeshi linatakiwa nalo lisaidie mahitaji ya katiba mpya

Jeshi linatakiwa nalo lisaidie mahitaji ya katiba mpya

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Leo kujiiita eti jeshi la wananchi wananchi ni dharau kwa watanzania. Hili ni jeshi linalo angalia mauaji na kuchekelea ya walala hoi wa kawaida.

Badala ya kulinda mipaka na katiba jeshi linalinda mafisadi tu. Inabidi kufanyike mapinduzi ndani ya jeshi kwanza.

Jeshi linatakiwa nalo lisaidie mahitaji ya katiba mpya sio kuwa jeshi la machawa
 
Back
Top Bottom