Jeshi walitoa kibali Diamod kuvaa sare zao

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,246

Imeelezwa kuwa Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) walitoa kibali kwa msanii Diamond kutumia Nguo za Jeshi hilo katika Tamasha la Mziki wa kizazi kipya maarufu kama Fiesta lililokuwa na kauli mbiu ya ni Sheendaa!!!!
Maswali ya kujiuliza ni
Je kuna sheria inayosema kama mtu akiitaji kutumia Nguo za Jeshi lolote anaweza kuomba kibali?
Na kama ndiyo tutaomba Jeshi lifafanue ni hatua gani za kufatwa mpaka kutolewa kwa kibali hicho.
Kuna taarifa kutoka JWTZ humu JF lakini aijasema kama ilitoa kibari hicho ili Wananchi tujue/kufahamu
 
Kuna video ya Prof Jay na Jumanature walitumia vifaa vya kijeshi na walipewa kibali!

Sio kwamba wanakupa tuu lazima waangalie na tukio lenyewe!
 
Hili jeshi letu silielewi!!!!Ninavyojua ni kosa kuvaa sare za jeshi a zinazofanana!!!!!Sasa hili la Ney kuuvuta suruali mpaka chini ya makalio hawaoni kwamba ni udhalilishaji wa jeshi la wananchi????
This possibly happen only in Tanzania
 
Upuzi mtupu alipishwe faini nxt time watavaq kichwani kwa upande wa platnumz kalitendea haki
 
Afadhali Diamond anavaa kistaarabu,Neema wa Mitego anapigia mlege halafu anakunja mguu mmoja
 
kwa mtazamo wangu hawa watu wachukuliwe sheria haraka iwezekanavyo.mwanamuziki kudhalilisha jeshi la wananchi!!
 
Mnapenda magwanda kuvaa kirahisi wenzenu wametoa jasho mpaka kuvaa hizo nguo

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sasa huyo diamond nae nguo zilimkosa mpaka avae za jeshi?
 
Afadhali Diamond anavaa kistaarabu,Neema wa Mitego anapigia mlege halafu anakunja mguu mmoja

Jamaa anajifanya siku hizi ana SWAGA ZA KIFREEMASON HATA HIYO YA KUKUNJA MGUU MMOJA NI MOJA KATI YA SATANIC SIGN.
 
Ney....Hilo ni jitu la misifa ya kishetani.....ni upumbavu kujifanya anajua kumbe ni njia ya motoni tu
 
Hili jeshi hatulielewi ..
Ni kigeugeu kama mkulu wa kaya! !
 
Sawa wanaweza kukupa kibari, swali hizo sare unaenda kuzitoa wapi? Au ndy magumashi ya kumuomba msoldier.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…