NAPITA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,077
- 2,246

Imeelezwa kuwa Jeshi la wananchi Tanzania (JWTZ) walitoa kibali kwa msanii Diamond kutumia Nguo za Jeshi hilo katika Tamasha la Mziki wa kizazi kipya maarufu kama Fiesta lililokuwa na kauli mbiu ya ni Sheendaa!!!!
Maswali ya kujiuliza ni
Je kuna sheria inayosema kama mtu akiitaji kutumia Nguo za Jeshi lolote anaweza kuomba kibali?
Na kama ndiyo tutaomba Jeshi lifafanue ni hatua gani za kufatwa mpaka kutolewa kwa kibali hicho.
Kuna taarifa kutoka JWTZ humu JF lakini aijasema kama ilitoa kibari hicho ili Wananchi tujue/kufahamu