October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Huyu ni shemeji yake.Hahah! Watu hata chai bado hatujanywa, wengine mshaamka kuruka na samia! Tutafika 2030 tumechoka sana.
Huyu anajua kuandika vizuri.Ni kweli simpendi MANYONYO ila na ww jifunze kuandika vizuri
Tena mshauri wa karibu kupitia rafiki yake🤣🤣Huyu ni shemeji yake.
Rafiki wa Amiri
Inashaangaza sana, ujasiri na usalama vip?Naona Askofu wa kupiga press kama siyo 'counter pressing' kaibuka madhabahuni.
Anatamba Sasa atakuwepo kila Jumapili.
Tujuze kuhusu ujasiri ule, usalama wake kajihakikishia vipi?
Mwandiko wa kizanzibar huu.Ni kweli simpendi MANYONYO ila na ww jifunze kuandika vizuri
https://www.facebook.com/Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
Amekariri kwamba hajui kuandika. Unaweza kushangaa ni mtu mwenye heshima zake waandamizi kabisaHuyu anajua kuandika vizuri.
Hapa anawapoteza watu wasimrambue.
Kila mtu ana Aina yake ya uandishi Kama signature vile. Walio karibu nawe wanakufahamu wakiona maandishi yako tu.
Hapa anawapoteza maboya. Huenda huyu siyo mzanzibar kama alivyoji nasibisha toka mwanzo.
Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
Mipasho miiingi, mnajiongelesha mnajichekesha, watanzania wamechagua amani wameamua kuachana na kauli mbiu zenye kuhamasisha machafuko.Ati amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
duh! Kazi kwelikweli.Huyu ni shemeji yake.
Rafiki wa Amiri
Code kali funguka, after all JF imefungiwa, funguka tueleweAti amiri jeshi. Hehehehe. Uliona wapi Amir anaua watu wake. Heheheh. Sasa aogopa watu. Hajui nani amuamini. Hehehe walahi hii kali. Jeshi lajizima mnala naye ajua. Yeye si amir jeshi sasa itajulikana ni jeshi lipi yeye asiogope. Huyo hata akijiuzulu haisaidiii walahi.
Rafiki yangu wa Siku nyingi nilikuambia mapema. Huyo Mzazi mwenzio ni mroho wa madalaka. Wee wajiingiza kichwa. Wooi. Na bado
Watu wanamchulia, hatari sana.Huyu bimkubwa ana hali gani huko,?