Ibrahim augustine
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 428
- 576
Huwo ujuha uishie cloudskwahiyo watu wasiendelee na program "zao"kiss tu " wataonekana kuwa wanamsema diamond"" acheni ukike "" hata huyo diamond alikuwaga anapewa promo za kufa mtu hapo hapo clouds """ kulalamika lalamika kama watoto wa kambo mtaacha lini "" na nyie simna media yenu " mnaonaje mkimfanyia interview CEO wenu kutwa nzima kama walivyofnya clouds
Acha Kabis ujinga Mr. Augustine, ufanye ubongo wako kufikiria kwa kina,thread yako inaonesha uwezo wako wa kupambanua mambo huko chini sana.Clouds TV INA onekana kumshambulia kijana wetu namzungumzia diamond platnumz
CEO wa wasafi TV leo naona kwenye twitter yao wamemchokoza mond na kuandika
Kua alikiba anasema hata wanawake hua wana salamu zao@Akimlenga mondi
Tangu leo asubuhi hakuna jipya wanajaribu kumpa promo kiba na kujifanya eti siku kuu ya kibaday
Yaani clouds TV mnapoelekea ni pabaya MNA leta ugomvi wazi wazi
Sasa na sisi team mondi tusiangale clouds sasa kwa sababu mondi nyimbo zake hamzipigi kabisa kisa ameanzisha TV yake ndio maana mnaumia ama?
sasa basiii waacheni na ujuha wao "" kama nyie sio majuha" mnacholalamika ninini "" yaani unajibizana na chizi "" halafu unataka Jamii isikuone kuwa na wewe ni chizi""Huwo ujuha uishie clouds
Hawa akili hawana"" hawajui kuwa program zao ndio zinawafanya wazidi kupata matangazo na kuingiza pesa""Kwahiyo washindwe kufanya program yoyote na MTU mwingine kisa itaonekana wanamzima diamond?
kuna wengine akili zao zimechacha ..hawajui kuwa clouds ni taasisi ya kibiashara...so nilazima ifanye mambo yanayoivutia Jamii iliwaweze kuvuna wateja ...."" mijitu mingine hata haina sifa ya kuwa member wa jf "" maana wanapishana na kauli mbiu ya hii forum""(home of great thinkers) halafu unakutana na mtu anayeishi nyumbani kwa ma great anaubongo wenye fikira ndogo kama sisimizi inatia kinyaaAcha Kabis ujinga Mr. Augustine, ufanye ubongo wako kufikiria kwa kina,thread yako inaonesha uwezo wako wa kupambanua mambo huko chini sana.
hahaaa hahaa"* afadhali "nyie wote diamond,alikiba,clouds na mashabiki zao wote ni mapunga tu.