Jeshi zima LA clouds TV na alikiba wakijaribu kumzima CEO wa wasafi TV (Diamond platnumz)

Jeshi zima LA clouds TV na alikiba wakijaribu kumzima CEO wa wasafi TV (Diamond platnumz)

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
428
Reaction score
576
Clouds TV INA onekana kumshambulia kijana wetu namzungumzia diamond platnumz
CEO wa wasafi TV leo naona kwenye twitter yao wamemchokoza mond na kuandika
Kua alikiba anasema hata wanawake hua wana salamu zao@Akimlenga mondi

Tangu leo asubuhi hakuna jipya wanajaribu kumpa promo kiba na kujifanya eti siku kuu ya kibaday
Yaani clouds TV mnapoelekea ni pabaya MNA leta ugomvi wazi wazi

Sasa na sisi team mondi tusiangale clouds sasa kwa sababu mondi nyimbo zake hamzipigi kabisa kisa ameanzisha TV yake ndio maana mnaumia ama?
 
kwahiyo watu wasiendelee na program "zao"kisa tu " wataonekana kuwa wanamsema diamond"" acheni ukike "" hata huyo diamond alikuwaga anapewa promo za kufa mtu hapo hapo clouds """ kulalamika lalamika kama watoto wa kambo mtaacha lini "" na nyie simna media yenu " mnaonaje mkimfanyia interview CEO wenu kutwa nzima kama walivyofnya clouds
 
kwahiyo watu wasiendelee na program "zao"kiss tu " wataonekana kuwa wanamsema diamond"" acheni ukike "" hata huyo diamond alikuwaga anapewa promo za kufa mtu hapo hapo clouds """ kulalamika lalamika kama watoto wa kambo mtaacha lini "" na nyie simna media yenu " mnaonaje mkimfanyia interview CEO wenu kutwa nzima kama walivyofnya clouds
Huwo ujuha uishie clouds
 
Clouds TV INA onekana kumshambulia kijana wetu namzungumzia diamond platnumz
CEO wa wasafi TV leo naona kwenye twitter yao wamemchokoza mond na kuandika
Kua alikiba anasema hata wanawake hua wana salamu zao@Akimlenga mondi

Tangu leo asubuhi hakuna jipya wanajaribu kumpa promo kiba na kujifanya eti siku kuu ya kibaday
Yaani clouds TV mnapoelekea ni pabaya MNA leta ugomvi wazi wazi

Sasa na sisi team mondi tusiangale clouds sasa kwa sababu mondi nyimbo zake hamzipigi kabisa kisa ameanzisha TV yake ndio maana mnaumia ama?
Acha Kabis ujinga Mr. Augustine, ufanye ubongo wako kufikiria kwa kina,thread yako inaonesha uwezo wako wa kupambanua mambo huko chini sana.
 
Acha Kabis ujinga Mr. Augustine, ufanye ubongo wako kufikiria kwa kina,thread yako inaonesha uwezo wako wa kupambanua mambo huko chini sana.
kuna wengine akili zao zimechacha ..hawajui kuwa clouds ni taasisi ya kibiashara...so nilazima ifanye mambo yanayoivutia Jamii iliwaweze kuvuna wateja ...."" mijitu mingine hata haina sifa ya kuwa member wa jf "" maana wanapishana na kauli mbiu ya hii forum""(home of great thinkers) halafu unakutana na mtu anayeishi nyumbani kwa ma great anaubongo wenye fikira ndogo kama sisimizi inatia kinyaa
 
nyie wote diamond,alikiba,clouds na mashabiki zao wote ni mapunga tu.
 
Clouds humganda mtu ambaye yuko katika wakati wake,kama unalegalega au watu hawashughuliki na wewe na wao hawajipendekezi kwako mifano tunao tu wa juzijuzi kwa Aslay,na huyo kumwenda wenu wakati wake alishobokewa,Sasa ni KIBA TIME nae akichuja anatupwa kapuni ile ni biashara bwana lazma ulenge faida.
 
Back
Top Bottom