Jeshi zima LA clouds TV na alikiba wakijaribu kumzima CEO wa wasafi TV (Diamond platnumz)

Huu ni uchawi wa asili unakusumbua.

Kwani Diamond akiwa anaenda kuhojiwa popote huwa anakusudia kumshusha mtu yoyote???
 
Hawataweza/kwanza ukiingia insta jamaaa anawazid followers!!!!!!!_clouds media 1 million kiba mwenyew 2.2million
 

Kunywa Mofaya hapo naja lipa Mkuu
 
bila shaka Simu yko ipo hacked..huyu aliyepost hawezi kuwa wewe
Mkuu, 'Am sorry JK'. Nimefuta kauli. Futa iyo text yako uliyoniquote ili nukuu yangu ifutike jukwaani. Clouds ni radio mama iliyokuja kufuta aibu zilizoletwa na redio 'chakavu' kama RTD na Radio one. Clouds ni radio iliyosaidia kuwapunguzia msongo wa mawazo na kuwaunganisha watanzania. Mapungufu mengine madogo madogo ni mambo ya kibinadamu.
 
hahaaaa...sawa "" leo ndio nimeamini kuwa mahaba ni mabaya sana..kwahiyo haya yote huku yaona au...."" any way nafuta mkuu""
 
Mnalia lia nini sasa?

Nyie c mna radio yenu....Na nyie fanyeni Dimond Day mlipe kisasi ebooooo
 
Mimi nineona kitu tofauti kabisa..
Nimeona kijana wa Kitanzania akiingia kwenye biashara na kuwa mjasiriamali.

Sidhani kama clouds wanampa hii promo bure..?
 
Mimi nineona kitu tofauti kabisa..
Nimeona kijana wa Kitanzania akiingia kwenye biashara na kuwa mjasiriamali.

Sidhani kama clouds wanampa hii promo bure..?
Watu wana leta utimu tuu, lakini hawa jui jamaa ana lipa ili atangaze biashara yake..,
 
Hahaha umeona ee. Wanatuzingua tu wote hao
Yaani mizinguo yao si ya kitoto,nikimuona mtu anawashabikia hao kwenye Matimu yao huwa nawaangalia mara mbili mbili......Mie ni shabiki wa mziki mzuri na si mtu,kiba au domo wakitoa mziki mzuri nitaupenda lakini si kumshabikia yeye kama yeye huwa sinaga huo upuuzi.
 
Watu wengine bwana, wafanye wao, wakifanya wengine , oooohh unatuzibia riski,

Hivi huko kwenu wasanii ni mondo na kiba tu,? Maana sasa inakuwa kama hamjasoma bwana,
 
Mbona kwenye white party hukusema haya
 
Mi huwa hata sielewagi hawa jamaa, nadhani ni makapu darasa, maana kiba akifanya mambo yake wanaongea ongea sana, ila mondo akifanya mambo yake wala husikii watu wa kiba wakiongea ,
 
Mi huwa hata sielewagi hawa jamaa, nadhani ni makapu darasa, maana kiba akifanya mambo yake wanaongea ongea sana, ila mondo akifanya mambo yake wala husikii watu wa kiba wakiongea ,
wachunguze vyema mkuu"" wengi hawana life skills"" wanyoa viduku"" wapenda ngono..misifa"" madereva wa boda + ...so wasikupasue kichwa ..wako empty set""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…