John makonda
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 263
- 246
Hebu nifafanulie maana ya kabilakuna kabila 29, ndio mkoa wenye makabila mengi Tz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nifafanulie maana ya kabilakuna kabila 29, ndio mkoa wenye makabila mengi Tz
Lugha ni kitu kimoja kabila ni kitu kingine, hapa Tanzania tunaongea wote kiswahili ila mila zetu ni tofauti.Makabila mengi ya Mkoa wa Mara yanaendana,tofauti upo kwa wajaluo na wajita.Hao lugha haziinguliani kabisa.
But makabila mengi yaliyobaki yanaingiliana na kikurya na mengine yabaendana na kijiita-Wajaluo wao hawaingiliani na kabila lolote labda wajaluo wenzao wa Kenya na Sudan
Kijaluo sio kibantuWAJITA
WAKURYA
WAJALUO
WAZANAKI
WAIKIZU
N:B. Kunaweza kuwa na mifanano ya lugha ila ni makabila tofauti
Hii mpyaMsuguli Kila nafasi za jeshi zilipotangazwa/zinapotangazwa anahakikisha vijana wa kizanaki sio chini ya 50-100 anawaingiza jeshini.🤐
Msuguli Kila nafasi za jeshi zilipotangazwa/zinapotangazwa anahakikisha vijana wa kizanaki sio chini ya 50-100 anawaingiza jeshini.[emoji850]
Huu ujinga wako inafaa upigwe lamination!! Unaweza kuwafaa wajinga wenzio wajao.Wazanaki ndiyo Watu Werevu na Majasiri sana Tanzania nzima ukibisha hili unaumwa Ugonjwa wa Akili hivyo wahi Ukatibiwe.