Jeshini kumejaa wazanaki, kwanini kuna upotoshaji kwamba ni wakurya waliojaa ?

Lugha ni kitu kimoja kabila ni kitu kingine, hapa Tanzania tunaongea wote kiswahili ila mila zetu ni tofauti.

watu wengi sana wanakoseaga kudhani kwamba kwakuwa wazanaki lugha zina mfanano na kikurya basi ni kabila moja, hio ni lugha tu sio kabila.
 
Wambura sio Mzanaki ni Mwiregi wa huko kijiji cha Ryamisanga. Kiufupi hakuna kabila linaitwa wakurya bali ni muunganiko wa makabila mengi madogomadogo. So hakuna ubaya mtu akisema wazanaki ni wakurya. Hata Wasukuma ni muunganiko wa makabila mengi pia
 
Msuguli Kila nafasi za jeshi zilipotangazwa/zinapotangazwa anahakikisha vijana wa kizanaki sio chini ya 50-100 anawaingiza jeshini.🤐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…