Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kumbe mi najiamini! Mana nmenyoa, kwel ukiona mwanamke kanyoa ujue anajiamini
kama nakuona vile
Nimeamini kajala ni msichana mzuri sana maana yeye pekee ndio kipara kinampendeza kwenye bongo movie!
Kweli nywele zinaongeza urembo kwa wanawake. Ukiona mwanamke ananyoa au ana kipaara na bado anapendeza huyo ni mzuri sana.
na kichwa chenyewe kiwe kizuri ......ukute kichwa kina mabonde hafu unyoe upara si balaa hilo.Duh kumbe mi najiamini! Mana nmenyoa, kwel ukiona mwanamke kanyoa ujue anajiamini