Jessam Nyato ateuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali ya chuo kikuu cha sayansi na tiba cha mt. Fransis

Status
Not open for further replies.

selasini

Member
Joined
Apr 25, 2013
Posts
37
Reaction score
15
Habari zenu wanajamvi Raisi wa serikali ya chuo kikuu kishiriki cha sayansi na tiba cha mt. Fransisko (FADHILI KALOKOLA) amemteua JESSAM NYATO, kuwa waziri mkuu mpya wa serikali yake, uteuzi huu umekuja baada ya kuvunjwa kwa baraza la mawaziri siku ya j,pili kutokana na kushindwa kuwajibika kwa baraza hilo.
my take.
Nampongeza Raisi kwa uteuzi huu makini ambao naamini utakuwa na manufaa kwa jamii ya watu wa chuo kikuu kishiriki cha mt. FRANSISKO

Naomba kuwasilisha.
 
pumbaafu!!chuo chenyewe cha kata,alafu kipo porini!!!tuondolee utoto hapa ebu someni wapuuzi nyie!!!
 
Kinatambulika mkuu ni tawi la st Augustine kina mwaka wa nne sasa tangu kianzishwe
 
pumbaafu!!chuo chenyewe cha kata,alafu kipo porini!!!tuondolee utoto hapa ebu someni wapuuzi nyie!!!

Mh kumbe ili taasisi ya elimu itambulike kam chuo kikuu lazm kiwe mjin? hv hat UDSM imekuw vile kw mwaka mmoja?
 
Utoto ni upi kaitaka post yangu au una uji kichwani!!?
 
Mh kumbe ili taasisi ya elimu itambulike kam chuo kikuu lazm kiwe mjin? hv hat UDSM imekuw vile kw mwaka mmoja?



kaka unalijua tatizo la shule za kata zilizosimamiwa na Mh Lowasa matatizo yake??hazina walimu,miundo mbinu haijitoshelezi!!vinaanzishwa kukidhi malengo fulani hasa ya serikali,then kuna taasisi zinatumia loop hole hiyo kuanzisha hivyo vyuo ,sfuchas kuja kujitosheleza it will take them,even more than five to ten years,tuwen wakweli tuache porojo,kuna vyuo vya kata.Hutaki acha,huo ndo ukweli.
 
Haya Pongezi Kwenu Mmepata Kiongozi Bora Sana. Nyato Alikuwa Rais Wangu Pale Klerruu Teachers' College, Aliongoza Vizuri Sana.
 
Acha kukurupuka ww nani kakuambia sfuchas ni ya serikali? Kwa hiyo ulitaka kijengwe mjin ili iweje? Kama tcu wamekipa usajili ww ni nani hata ukiponde tumia akili ww! !
 

Umesema chuo gani!!!!!
Kiko katika nchi gani????
 
Acha kukurupuka ww nani kakuambia sfuchas ni ya serikali? Kwa hiyo ulitaka kijengwe mjin ili iweje? Kama tcu wamekipa usajili ww ni nani hata ukiponde tumia akili ww! !



Tulia usome,ntamwambia prof mabao!!we jifanye mjanja uje ufeli uone kama yupo wa kukusaidia.nimekwambia habari zani kachaguliwa kuwa nani huko vyuoni c tija sana!!we piga shule,mmenyimwa boom that is an issue njoo huku jf,vinginevyo we endelea kujifanya mjanja uje uone!!!hapo kwenye red we hujui hata ilivyoanza hiyo sfuchas yako,ndo umesoma hapo ukameshindwa kuelewa ukajua nazungumzia ni cha serikali,we mtoto soma,md or md3 bado ni upuuzi tu,jikite masomoni.
 
Nanihi nanihi zako mwenzio nilifikiri Mizwengwe Pinda kapingwa chini kumbe upuunzi mtupu
 
kipo mkoa gani hicho chuo na kipo wilaya gani mkuu update pleas hila hongeera rais wenu kwa maamuzi magumu na makini
 
kipo mkoa gani hicho chuo na kipo wilaya gani mkuu update pleas hila hongeera rais wenu kwa maamuzi magumu na makini

Watu mko informed na Arsenal, Chelsea na Manchester ila yanayotokea mumu nchini ni vilaza wakubwa.
 
Kwa hiyo unataka nisomeje unanishauri kusoma unajua nmefikaje nilipo ww? mitihan yote ninayo fanya umenifaulisha ww? Toa uchovu apaa, na Usikurupuke kama mada haikuhusu sepaa,
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…