selasini
Member
- Apr 25, 2013
- 37
- 15
Habari zenu wanajamvi Raisi wa serikali ya chuo kikuu kishiriki cha sayansi na tiba cha mt. Fransisko (FADHILI KALOKOLA) amemteua JESSAM NYATO, kuwa waziri mkuu mpya wa serikali yake, uteuzi huu umekuja baada ya kuvunjwa kwa baraza la mawaziri siku ya j,pili kutokana na kushindwa kuwajibika kwa baraza hilo.
my take.
Nampongeza Raisi kwa uteuzi huu makini ambao naamini utakuwa na manufaa kwa jamii ya watu wa chuo kikuu kishiriki cha mt. FRANSISKO
Naomba kuwasilisha.
my take.
Nampongeza Raisi kwa uteuzi huu makini ambao naamini utakuwa na manufaa kwa jamii ya watu wa chuo kikuu kishiriki cha mt. FRANSISKO
Naomba kuwasilisha.