Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ni shida sana! Daily kutoa mapovu tu juu ya watangazajiYaani hyu jamaa cjui ana ugomvi gani na watangazaji mara Maulid Kitenge,Enock Buigane,Hemed Kivuyo na leo Jesse John Chacha kasifiwa leo ila cku akiongea chochote kizuri kuhusu yanga atafunguliwa uzi hmu!
Wewe si shabiki wa Simba? Andiko lako linatakiwa kutolitilia maanani au siyo NifahNaona sasa ni wakati muafaka kwa huyu Mtangazaji wa michezo wa TBC Taifa aitwae Jesse John amuombe Mkewe akubali ' kumbebea ' Mimba ili amzalie Mtoto wa Kiume kisha amuite Haruna Niyonzima.
Nimesikiliza matangazo ya TBC Taifa yaliyokuwa ' mubashara ' na Mtangazaji wa leo akiwa ni Jesse John na alikuwa anaenda vizuri tu na sisi hadi Kipindi cha Kwanza kilipoisha ila hali ilikuja kubadilika pale kilipoanza Kipindi cha pili huku Yanga FC ikimuingiza Mchezaji Haruna Niyonzima.
Mtangazaji huyu ameshindwa kabisa kuficha ' mahaba ' yake ' niue ' kwa huyu Mchezaji kwani kwa takribani dakika zote 45 za Kipindi cha pili Mchezaji ambaye alikuwa akimtaja sana huku akimpamba hadi ' kutuboa ' sisi Wasikilizaji wake ni huyu Haruna Niyonzima.
Kilichonishangaza zaidi ni kwamba kuna wakati huyo Mchezaji alikuwa hata hana mpira na mpira uko sehemu nyingine lakini Mtangazaji Jesse John alianza sasa ' kusifia ' aina ya ' utembeaji ' wa Haruna Niyonzima hadi anavyoiweka mikono yake kitu ambacho kiukweli kilinishtua sasa Mimi Mwanaume wa ' Pwani ' hadi kudhani kama siyo kuhisi kuwa pengine huyu Mtangazaji angekuwa ni wa Kike basi TBC ingepata ' Shemeji ' kutoka nchini Rwanda.
Huku Pwani Kwetu Mtoto wa Kiume kuanza kumsifia ' Mwanaume ' mwenzio ni ' taboo ' kabisa na nimemshangaa sana huyu Mtangazaji wa TBC1 Jesse John kuwa hii nguvu na huu moyo wa ' kumsifia ' kiasi kile Mchezaji wa Yanga FC Haruna Niyonzima kautoa wapi na nadhani pengine hata Mkewe huwa hamsifii hivi kama ambavyo amemsifia leo huyu Mchezaji wa Kinyarwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima a.k.a Niyo a.k.a Fabregas wa Mkoani Gisenyi nchini Rwanda.
Halafu sijui Watangazaji wa michezo wa TBC1 mna ' matatizo ' gani hakyanani. Hivi kwanini msiwe kama ' Poti ' wangu Chacha Maginga ambaye anatangaza ' Kiume ' na ' Kishujaa ' sana hadi Mtu unafurahia kumsikiliza na huwezi jua ama ana ' mahaba ' na Timu gani au Mchezaji gani. TBC wapigeni ' msasa ' hawa Watangazaji wenu wa hii ' mipira ' ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ( VPL ) kwani kila ' Uchao ' wao ' wanakengeuka ' tu na itafikia muda tutawachoka na tutahamia ama Sibuka fm au Radio One Stereo ambako ' upuuzi ' wa hao Watangazaji wenu haupo.
" Siku zote dawa chungu na inayouma ( yenye maumivu ) ndiyo hutibu vizuri " Mwanamume nimemaliza kutoa langu la moyoni na ' nasepa ' zangu nikiamini kabisa kuwa ' Wagonjwa ' watapona.
Halafu ni vitu vya kawaida sana kwa watangazaji lakini jamaa sijui anachukulia namna gani.!Huyu jamaa ni shida sana! Daily kutoa mapovu tu juu ya watangazaji
Umesahau kipindi kile charcoal hundred wakati ule anawapaisha mkia fc club a.k.a wamatopeni?? Nikutesa kwa zamu babu weeee! EboooNaona sasa ni wakati muafaka kwa huyu Mtangazaji wa michezo wa TBC Taifa aitwae Jesse John amuombe Mkewe akubali ' kumbebea ' Mimba ili amzalie Mtoto wa Kiume kisha amuite Haruna Niyonzima.
Nimesikiliza matangazo ya TBC Taifa yaliyokuwa ' mubashara ' na Mtangazaji wa leo akiwa ni Jesse John na alikuwa anaenda vizuri tu na sisi hadi Kipindi cha Kwanza kilipoisha ila hali ilikuja kubadilika pale kilipoanza Kipindi cha pili huku Yanga FC ikimuingiza Mchezaji Haruna Niyonzima.
Mtangazaji huyu ameshindwa kabisa kuficha ' mahaba ' yake ' niue ' kwa huyu Mchezaji kwani kwa takribani dakika zote 45 za Kipindi cha pili Mchezaji ambaye alikuwa akimtaja sana huku akimpamba hadi ' kutuboa ' sisi Wasikilizaji wake ni huyu Haruna Niyonzima.
Kilichonishangaza zaidi ni kwamba kuna wakati huyo Mchezaji alikuwa hata hana mpira na mpira uko sehemu nyingine lakini Mtangazaji Jesse John alianza sasa ' kusifia ' aina ya ' utembeaji ' wa Haruna Niyonzima hadi anavyoiweka mikono yake kitu ambacho kiukweli kilinishtua sasa Mimi Mwanaume wa ' Pwani ' hadi kudhani kama siyo kuhisi kuwa pengine huyu Mtangazaji angekuwa ni wa Kike basi TBC ingepata ' Shemeji ' kutoka nchini Rwanda.
Huku Pwani Kwetu Mtoto wa Kiume kuanza kumsifia ' Mwanaume ' mwenzio ni ' taboo ' kabisa na nimemshangaa sana huyu Mtangazaji wa TBC1 Jesse John kuwa hii nguvu na huu moyo wa ' kumsifia ' kiasi kile Mchezaji wa Yanga FC Haruna Niyonzima kautoa wapi na nadhani pengine hata Mkewe huwa hamsifii hivi kama ambavyo amemsifia leo huyu Mchezaji wa Kinyarwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima a.k.a Niyo a.k.a Fabregas wa Mkoani Gisenyi nchini Rwanda.
Halafu sijui Watangazaji wa michezo wa TBC1 mna ' matatizo ' gani hakyanani. Hivi kwanini msiwe kama ' Poti ' wangu Chacha Maginga ambaye anatangaza ' Kiume ' na ' Kishujaa ' sana hadi Mtu unafurahia kumsikiliza na huwezi jua ama ana ' mahaba ' na Timu gani au Mchezaji gani. TBC wapigeni ' msasa ' hawa Watangazaji wenu wa hii ' mipira ' ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ( VPL ) kwani kila ' Uchao ' wao ' wanakengeuka ' tu na itafikia muda tutawachoka na tutahamia ama Sibuka fm au Radio One Stereo ambako ' upuuzi ' wa hao Watangazaji wenu haupo.
" Siku zote dawa chungu na inayouma ( yenye maumivu ) ndiyo hutibu vizuri " Mwanamume nimemaliza kutoa langu la moyoni na ' nasepa ' zangu nikiamini kabisa kuwa ' Wagonjwa ' watapona.
inawezekana una mimba katapike urudi mkuuKwani kuna Mtu asiyejua kuwa Mtangazaji wa TBC Chacha Maginga ni mwana Yanga FC wa kutukuka? Ila umeshawahi kumsikia hata siku moja akitangaza Kimahaba ya Yanga FC kama hao wenzio wasiojielewa? Kwanza umeitaja tu Yanga FC naanza kusikia ' Kichefuchefu ' Mkuu.
Huyu jamaa ni shida sana! Daily kutoa mapovu tu juu ya watangazaji
Mikia fc,wamezabi fc,wakubebwa fc.Naona sasa ni wakati muafaka kwa huyu Mtangazaji wa michezo wa TBC Taifa aitwae Jesse John amuombe Mkewe akubali ' kumbebea ' Mimba ili amzalie Mtoto wa Kiume kisha amuite Haruna Niyonzima.
Nimesikiliza matangazo ya TBC Taifa yaliyokuwa ' mubashara ' na Mtangazaji wa leo akiwa ni Jesse John na alikuwa anaenda vizuri tu na sisi hadi Kipindi cha Kwanza kilipoisha ila hali ilikuja kubadilika pale kilipoanza Kipindi cha pili huku Yanga FC ikimuingiza Mchezaji Haruna Niyonzima.
Mtangazaji huyu ameshindwa kabisa kuficha ' mahaba ' yake ' niue ' kwa huyu Mchezaji kwani kwa takribani dakika zote 45 za Kipindi cha pili Mchezaji ambaye alikuwa akimtaja sana huku akimpamba hadi ' kutuboa ' sisi Wasikilizaji wake ni huyu Haruna Niyonzima.
Kilichonishangaza zaidi ni kwamba kuna wakati huyo Mchezaji alikuwa hata hana mpira na mpira uko sehemu nyingine lakini Mtangazaji Jesse John alianza sasa ' kusifia ' aina ya ' utembeaji ' wa Haruna Niyonzima hadi anavyoiweka mikono yake kitu ambacho kiukweli kilinishtua sasa Mimi Mwanaume wa ' Pwani ' hadi kudhani kama siyo kuhisi kuwa pengine huyu Mtangazaji angekuwa ni wa Kike basi TBC ingepata ' Shemeji ' kutoka nchini Rwanda.
Huku Pwani Kwetu Mtoto wa Kiume kuanza kumsifia ' Mwanaume ' mwenzio ni ' taboo ' kabisa na nimemshangaa sana huyu Mtangazaji wa TBC1 Jesse John kuwa hii nguvu na huu moyo wa ' kumsifia ' kiasi kile Mchezaji wa Yanga FC Haruna Niyonzima kautoa wapi na nadhani pengine hata Mkewe huwa hamsifii hivi kama ambavyo amemsifia leo huyu Mchezaji wa Kinyarwanda Haruna Fadhil Hakizimana Niyonzima a.k.a Niyo a.k.a Fabregas wa Mkoani Gisenyi nchini Rwanda.
Halafu sijui Watangazaji wa michezo wa TBC1 mna ' matatizo ' gani hakyanani. Hivi kwanini msiwe kama ' Poti ' wangu Chacha Maginga ambaye anatangaza ' Kiume ' na ' Kishujaa ' sana hadi Mtu unafurahia kumsikiliza na huwezi jua ama ana ' mahaba ' na Timu gani au Mchezaji gani. TBC wapigeni ' msasa ' hawa Watangazaji wenu wa hii ' mipira ' ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara ( VPL ) kwani kila ' Uchao ' wao ' wanakengeuka ' tu na itafikia muda tutawachoka na tutahamia ama Sibuka fm au Radio One Stereo ambako ' upuuzi ' wa hao Watangazaji wenu haupo.
" Siku zote dawa chungu na inayouma ( yenye maumivu ) ndiyo hutibu vizuri " Mwanamume nimemaliza kutoa langu la moyoni na ' nasepa ' zangu nikiamini kabisa kuwa ' Wagonjwa ' watapona.
Halafu ni vitu vya kawaida sana kwa watangazaji lakini jamaa sijui anachukulia namna gani.!
Umesahau kipindi kile charcoal hundred wakati ule anawapaisha mkia fc club a.k.a wamatopeni?? Nikutesa kwa zamu babu weeee! Ebooo
Tehetehetehe ... Kina nani haoNilisema tangu awali kuwa prison watafungwa lakini wataolala na viatu ni wengine kabisa
Ni ukiukwaji wa maadili ya Kazi hafai
Wewe ni shabiki wa team gani kwanza usijekuwa ni mikia fc