GE2025 Jessica Mshama: CCM inajivunia kuwaamini vijana katika uongozi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Ndg. Jessica Mshama, amesema kuwa CCM inatambua na kuthamini uwezo wa vijana katika uongozi na ndiyo maana imekuwa mstari wa mbele kuwapa nafasi za juu za kiuongozi.

Akizungumza katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha Sentro cha Clouds TV, Ndg. Jessica alisema kuwa uthabiti wa CCM unatokana na utamaduni wake wa kuwaamini vijana, tofauti na vyama vingine vya siasa. Alieleza kuwa ushindi wa CCM hauji kwa bahati mbaya bali kwa sababu chama hicho kimewekeza kikamilifu katika vijana.

Kina Lucas na mwijaku🥴😩😂
 
Pelekeni watoto shule za maana waje kuwa watu huko mbeleni....ni hayo tu!
 
Back
Top Bottom