haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Ni wiki sasa kuna masuala nafatilia taasisi fulan ila ukweli watu wanaringa sana wakikalia viti vya kuzunguuka
Yan ofisi ya umma mtu anasema amejipangia utaratibu wa kufanya kazi yake, kaz fuln hafanyi hadi saa nane mchana, wakati huo yuko na mwenzie wanapiga story,
Kituo kimoja cha pilisi unaandika loose report , unapandagari kwenda kulipia risiti ya miatano oyster bay au kawe af urudi,
Ni makusudi au nini? Chanzo cha watu kulinga kazini.
Na walionifanyia hujuma zaidi ni wanaume wenzangu.
Nimekumbuka " unlike charge attract each other while like charge repeal each other "
Ningemkuta jinsia ya ke like mama sabrina, at least.
Ila mlio maofisini mumuogope mungu, huwezsumbua mtu aende arudi kwa jambo linalowezekana