jeuri , usumbufu na dharau maofisini ukiwa na shida.

jeuri , usumbufu na dharau maofisini ukiwa na shida.

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Ni wiki sasa kuna masuala nafatilia taasisi fulan ila ukweli watu wanaringa sana wakikalia viti vya kuzunguuka
Yan ofisi ya umma mtu anasema amejipangia utaratibu wa kufanya kazi yake, kaz fuln hafanyi hadi saa nane mchana, wakati huo yuko na mwenzie wanapiga story,
Kituo kimoja cha pilisi unaandika loose report , unapandagari kwenda kulipia risiti ya miatano oyster bay au kawe af urudi,
Ni makusudi au nini? Chanzo cha watu kulinga kazini.

Na walionifanyia hujuma zaidi ni wanaume wenzangu.

Nimekumbuka " unlike charge attract each other while like charge repeal each other "
Ningemkuta jinsia ya ke like mama sabrina, at least.

Ila mlio maofisini mumuogope mungu, huwezsumbua mtu aende arudi kwa jambo linalowezekana
 
Huo ni ugonjwa wa watanzania wengi wakipata nafasi hujiona ni bora kuliko wengine,sijui lini huu upuuzi utakuja kuisha.
 
WAAJIRIWA WENGI HASA KATIKA OFISI ZA SERIKALI HUWA HAWATAMBUI WAJIBU WAO.WANADHANI WANAKWENDA PALE KUPEANA UMBEA HASA WANAWAKE NA WANAUME KUSIMULIANA MPIRA NA POMBE ZA USIKU ULOPITA.
Hawana kabisa mwamko wa kazi.Hadi wakati mwingine nawaza kama ni kweli walisomea kazi hizo au walishikwa mkono na shemeji au wajomba zao
 
Ukikosa subra na uvumilivu unaweza gombana, imajin umekaa unamsubiri mtu tangu saa nane, anarudi saa kumi sijui alijua wapi anasema muda wa kaz umeisha, huyu mtu unamfanyaje?
 
Iko kwenye damu hiyo, ni ngumu sana kuiondoa... some things just never change... [emoji36]
 
Mm nafanya kaz katka registry ya halmashauri Fulani.. Ukija kwambwembwe na midoc yako naipiga kwenye box hadi kesho yake.
basi hapo unaona umefaidiii???

Kweli ID sometimes zinasadifu
 
Back
Top Bottom