'Jeuri' ya Klabu ya 'Yanga' na 'Makomandoo' wake inatokana na huyu Mstaafu na hawa Viongozi Waandamizi wa Serikali ya Rais Samia

Wacha Mangungu azidi kutawala mbumbumbu
Kwaiyo hao viongozi ndo waliwasajilia wachezaji wabovu akina Okajepha, Mutale, Mukwala, Ngoma, Che Malon n.k

Hao viongozi ndo waliwatuma mkafanye ushirikina South Africa

Hao viongozi ndo waliwafunga goli 5
Hao viongozi ndo walimpa Kijili pesa ajifunge
Simba wamekimbia mechi kwakuwa wachezaji wenye nafuu wana majeraha kama Camara Che maloni na Ngoma kupigwa ilikuwa lazima
 
Huu UZI wangu wa UKWELI MTUPU NA MCHUNGU kamwe hautoeleweka na WAPUMBAVU na WANAFIKI.
 
Hakuna asiyejua kuwa Mwekezaji wa Simba SC Mohammed Dewji kapitia misukosuko mingi ya Kibiashara nchini Tanzania kwa Uyanga wa Viongozi katika Wizara zenye Ushawishi Kifedha (Kodi) na Biashara nchini kwa Maelekezo ya Mstaafu ambaye ana Chuki kubwa na Simba SC na pia ana Ushawishi mkubwa katika Serikali ya sasa ya Rais Samia na ana 85% ya Hisa katika Kampuni inayoogopwa na Serikali na isiyotoa Kodi na ina Hela za kufanya kila Kufuru ndani ya Taifa hili.🀝🀝🀝🀝
 
Ungeweka ushahidi usiotia shaka kuhusu tuhuma zako ingekuwa vyema.
Who allege must prove.
 
Pamba walisota miaka isiyopungua 20 wanaitafuta Ligi kuu. Hayo maamuzi magumu yawe magumu kweli, maana hakutakuwa na wa kuwasaidia.
Na kwa kipindi hiki ambacho utani wa jadi unapotea unakuja uadui wa jadi ndio zaidi. Adui wenu namba 1 (kama msemaji wenu alivyoweka hadharani) atahakikisha kanuni za kuishusha daraja zinatekelezwa yakitekelezwa hayo yanayoitwa maamuzi magumu.
 
Huu UZI wangu wa UKWELI MTUPU NA MCHUNGU kamwe hautoeleweka na WAPUMBAVU na WANAFIKI.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…