'Jeuri' ya Klabu ya 'Yanga' na 'Makomandoo' wake inatokana na huyu Mstaafu na hawa Viongozi Waandamizi wa Serikali ya Rais Samia

Simba wasishiriki hiyo mechi wakifanya hivyo itakuwa undezi uliopitiliza.
 
Maamuzi ya mazuri Simba SC wasilete timu uwanjani hao Mbwa sio wa kuwaendekeza. Yanga SC na watu wake wote yaani wote ni machoko na huu usenge hatukubali awamu hii
 
Mnasema mmeandaa Timu leteni uwanjani acheni kuleta sababu za porini hizo..
 
Bongo Soka Limejaa Ukiritimba Na Upumbavu Wa Hali Ya Juu Wala Hauhitaji Kukaza Shingo Kama Ukilifahamu Vyema.
 
.... Naunga mkono kwa 100% maamuzi magumu na ya Kiume kweli yaliyofikiwa Usiku wa kuamkia leo na Klabu ya Simba.
Huo ni woga tu kwanza hamkutoa taarifa ya mazoezi.Halafu hao mabaunsa sio sehemu ya sheria mbona hamkuomba msaada polisi
 
Simba mmejaza kina ashamed baraka

USSR
 
Acha Upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…