'Jeuri' ya Klabu ya 'Yanga' na 'Makomandoo' wake inatokana na huyu Mstaafu na hawa Viongozi Waandamizi wa Serikali ya Rais Samia

Simba ni walozi
 
Ili suala lingeenda kiungwana sijui kupeleka report baada ya mechi lingejirudia huko mbele kufikia uvunjaji wa amani hadi vifo kutokana hao so called mabaunsa.

Napongeza uongozi wa simba kutoa maamuzi ya kutopeleka timu ili iwe fundisho lisije kutokea tena.
 
Kinywaji cha leo ni,kichungu sana lakini ndio dawa ya huu ugonjwa na hiki kinywaji ni kwa,wale walio tayari kuponya huu ugonjwa unao Sumbua na kwa hizi timu zetu hizi mbili wengi wao wanaishi kihistoria zaidi kuliko kiuhalisia
 
Huo ni woga tu kwanza hamkutoa taarifa ya mazoezi.Halafu hao mabaunsa sio sehemu ya sheria mbona hamkuomba msaada polisi
Hao Police wao hawakuona hiyo Fujo wakati wako mita chache kutoka eneo la Tukio? Nikisema Mashabiki wa Yanga SC hamna Akili mnakasirika. Ndiyo maana kumbe hata aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael Raia wa Ubelgiji alisema kuwa Mashabiki wa Yanga SC ni Nyani, Mbwa na Sokwe. Na hata aliyekuwa Msemaji wa Simba SC (sasa ni Shabiki yenu Haji Manara) aliwahi kusema kuwa Yanga SC nzima wenye Akili timamu ni Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yake Mzazi Mzee Manara.
 
Namba tena mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hiyo namba hajaanza kuiweka hapa Leo na anadhani ni Namba yangu GENTAMYCINE na kwamba nitajulikana wakati Ukweli ni kwamba sijawahi kuwa na hiyo Namba ya Simu. Kuna Watu wengi sana JamiiForums na hasa Wapumbavu wanadhani wananijua GENTAMYCINE huku wakinifananisha na kila Mtu wakati ukweli ni kwamba hawanijui na NITAWATESA sana tu.

Kuna Mpumbavu mwingine jana kaja JF katika moja ya Uzi wangu akiseme (huku akijiamini) kuwa Mimi ni Oscar Oscar.

Cc: Ubena Zomozi
 
Unajua vizuri ukipotoka huwa sikuachi upitie. Kwa hili rafiki yangu umepotoka na Kwa Yale uliyosomea nadiriki kusema umejielekeza vibaya
1.Viongozi uliowataja Wana madhaifu yao upande mwingine lakini Kwa hili umewaonea. Hebu chukulia Dr Mpango ahusike na MABAUNSA kuzuia timu kuingia uwanjani, Mpango huyu huyu? Kwamba MABAUNSA wapate kiburi sababu ya Dr Mpango?
2.Timu haiwezi kuzuiwa kuingia uwanjani na Mamlaka isiyo rasmi (MABAUNSA) ร mbao hata muuza gongo anaweza kuwa nao. Funguo za geti hazikai Kwa Mtu tofauti na mamlaka ya uwanja hivyo kama waliozuia ni MABAUNSA Polisi Temeke walipofika mngeruhusiwa kuingia. Kubaini kuna kitu hakikuwa Sawa na walioamua ni Mamlaka Aidha ya uwanja au ya ligi. Hao ndo wanaotakiwa kutoka na kutueleza kilichotokea na siyo mabaunsa.
3.Kusema uamzi wa kukuripuka wa viongozi wa Simba kuandika barua wakisema hawapeleka timu uwanjani ni uamzi wa kiume sijui UANAUME gani unaosema maana Mara hatuna UANAUME wa dizaini hiyo. Kanuni haisahihishwi Kwa kuvunja Kanuni nyingine. Sababu za kutocheza Mechi zimewekwa kikanuni, kushawishi timu ikiuke Kanuni Kwa sababu kuna Kanuni haikutekelezwa upande wao ni kujipotosha kubaya. Sheria inayohusu adhabu uwanjani imeeleza mazingira ya penati yaweje, juzi tumeona JKT wakipewa penati baada ya Mpira kugonga kichwa cha beki. Kwa sababu Tu sheria ilikiukwa ulitaka Wapinzani waondoe timu uwanjani wasusie Mechi?
4.Umepuyanga zaidi kwenye suala la Mo na kutekwa kwake au biashara zake kuhusishwa na Usimba/Uyanga. Ongea kingine braza kutekwa Kwa Mo wanaojua chanzo watakucheka na ndo maana hata Simba wenyewe walitoa statement fupi kama Mkia wa Mbuzi na hata alipopatikana walikaa kimya.
5.Nakusihi utulie ujipe Muda baada kuisha hasira utaandika Mambo yenye mantic maana uwezo wako wa kufikiri naufahhamu siyo huu. Wewe ni talented charismatic fella lakini Kwa hapa narudia umejipotosha.
 
Mpira umeingiliwa na watu ndo maana ligi imejaa upangaji matokeo
Uko sahihi kabisa na hawa wana Yanga SC lia lia wafuatao hapa chini..............

  1. Jakaya Kikwete
  2. Philip Mpango
  3. Mwigulu Nchemba
  4. Antony Mavunde
  5. Ridhiwani Kikwete
  6. Gerson Msigwa
  7. Albert Chalamila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ