Unajua haya mambo watu wanachukulia kimzaha sana, lakini Kwa watu wenye akili waliotuzidi masuala kama haya ya timu kubwa huchukuliwa Kwa uzito wa juu sana na huweza kuleta mpasuko mkubwa kwenye taifa, Kama huamini ni kwamba wapo watu wako tayari kujua kwaajili ya hizi mechi ndo uone namna gani mambo yalivyo serious.