strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,921
- 3,308
Mna pesa hadi mnasikia joto kwa '' masikio '' yenu [emoji2]Federal reserves must take actions on that shits!
****
sisi bara Arab na pesa mingi sana lakini hapana choma pesa moto.
Huyu mbona kama hajavaa kitu ndani halafu naona ka muhogo wake unaning'inia pale kati[emoji15]Federal reserves must take actions on that shits!
****
sisi bara Arab na pesa mingi sana lakini hapana choma pesa moto.
Kuharibu pesa yoyote ni kosa la jinai.Siyo pesa feki kweli hizo?
Kuharibu pesa za Marekani ni kosa la jinai.
hahahah kalihusu nin hako kautafiti mkuu, kanasemajeHaya mambo mbona hatuoni mzungu akiyafanya? ...Kale kautafiti ka Dr Watson kumbe ni sahihi kabisa...Alifanya uchunguzi kwa mambo kama haya
Kina Bill Gate bado wanazisaka yeye anachoma, mweusi ni mweusi tu! Utajiri wake una thamani gani??
Ipo siku ataikumbuka.View attachment 344104 View attachment 344105
Bondia mwenye jeuri ya pesa Mayweather amechoma pesa hadharani $100 kwa kiberiti,mbele ya wapqmbe wake huku akishangiliwa na wapambe
Pembeni akiwa amezungukwa na warembo waki-massage massage mwili wake...Jamaa ana kufuru sana ya pesa
Hata mie nadhania hivyo kaka. Kutengeneza noti ni cost kubwa kuliko hata thamani ya noti yenyeweSiyo pesa feki kweli hizo?
Kuharibu pesa za Marekani ni kosa la jinai.