Jeuri ya Pesa: Bondia Floyd MayWeather achoma dola hadharani

Jeuri ya Pesa: Bondia Floyd MayWeather achoma dola hadharani

Federal reserves must take actions on that shits!


13103397_1551290518499943_3819411995381673783_n.jpg

****
sisi bara Arab na pesa mingi sana lakini hapana choma pesa moto.
Mna pesa hadi mnasikia joto kwa '' masikio '' yenu [emoji2]
 
Tatizo ngozi! Huwezi mkuta Mack Zucke anafanya huu ujinga.
Halafu huko marekani dola sio nyara ya selikali.
 
watu kama huyo boya ndo wanasababisha waafrika tuonekane hatuna akili yaani ni "low IQ monkey".
 
Laki 2 hiyo sema jamaa kwa ukwasi alio nao si kazi kuchoma laki 2 sema hii ni laana huko marekani si kuna ombaomba si amtupie apate hata baraka
 
makaratasi hayo ...wanatafutia kiki tu...thats not money
 
Mtu mweusi akifanya kazi leo akapata ela kesho haendi kazini hadi ziishe.hajali keaho
 
Haya mambo mbona hatuoni mzungu akiyafanya? ...Kale kautafiti ka Dr Watson kumbe ni sahihi kabisa...Alifanya uchunguzi kwa mambo kama haya
hahahah kalihusu nin hako kautafiti mkuu, kanasemaje
 
Kina Bill Gate bado wanazisaka yeye anachoma, mweusi ni mweusi tu! Utajiri wake una thamani gani??

Chris rock alisema " mtu mweusi ni mtumiaji mbovu wa pesa kuliko mtu mwingine yeyote duniani" hakuishia hapo akaendelea kusema " black people are rich and white people are wealthy""
 
Yaani hilo jamaa lina stunts lakini hizi ni za kishamba sana
 
Back
Top Bottom