Jeuri ya pesa: TP Mazembe yakataa dau la Al Ahly kumuuza Jackson Muleka

Hivi Katumbi anajihusisha na biashara gani?
Je uwekezaji wake humo TP Mazembe unarudi? Au anafanya kama starehe na kujitafutia jina?
Anko Moise ni muwekezaji ktk nyanja nyingi

Ana kampuni ya Logistics na usafirishaji hasa wa mizigo ya migodini

Hakuna Matata sarl
Habari kani sarl

Pia alikua na mgodi wa madini unaitwa MCK

Na miliki appartments na maduka Lubumbashi ,zoo ya wanyama

Ana biashara ya kusambaza unga na vyakula

Anamilikk vyombo vya habari ,Nyota TV na Nyota radio

Mambo mengi anamiliki kifupi yuko vzr

NB ilikua gavana wa Katanga kabla haijagawanywa
 
Matambo lazima yawepo na yanaleta vionjo vyake nje ya uwanja
Hahahaha sasa tukisema timu za kariakoo hazina uwezo wa kushinda a ktk usajiri wa kimataifa wanabisha.

Km zina ubavu zijaribu kuvunja mikataba ya wachezaji nguli Africa hapa ,wasisubiri wabure bure
 
Aisee kumbe yupo vizuri, ila uwekezaji wake TPmazembe ni kama anajifurahisha?






Hivi mbona sijawahi kusikia jina lake likitajwa kwenye forbes? Tatizo ni nini?
 
Hahahaha, nadhani wataona utofauti wa Simba wanajiita kikosi cha billion 1 na tp Mazembe
Hahah mimi ni mwana simba lkn pale hatuna mwekezaji ila tuna muwezeshaji.

Ulishawahi kuona mwekezaji eti timu inafungwa anatishia kuondoa udhamini wake kwny timu yake huko twitter mpk abembelezwe na wakina Makonda?hahah acha Katumbi awaonyeshe maana ya kuwekeza.
 
Aisee kumbe yupo vizuri, ila uwekezaji wake TPmazembe ni kama anajifurahisha?






Hivi mbona sijawahi kusikia jina lake likitajwa kwenye forbes? Tatizo ni nini?
Hahahaha uwekezaji una mnufaisha sana tu , tp Mazembe ukiacha kumpa umaarufu pia club inamlipa

Khs kuwepo Forbes sijui ila kaa ukijua anko hajarithi Mali kwa mzazi

Zambia ana mashamba makubwa ya mahindi

Kabila snr anaingia Lubumbashi Moise yuko vzr
 
Hahahaha, hy mo Simba ndio imewekeza kwake kupitia Treasure bond
 
Katumbi dili za aina zote yumo tu na yule bro wake/Business Partner wake Soriano ni noma sana( mpk deal za kuuzia silaha serikali anafanya sana na ni mpigaji mzoefu tu).

Soriano alipewa na serikali ya Angola tenda ya kujenga nyumba 600,000 huko angola kwa $60bil,si mchezo.

Katumbi alipigwa fine na serikali ya Congo $6m yaani almost bil 14 za kwetu na hakulia lia,hapo ndipo wataelewa wana deal na mtu wa aina gani.
 
Mo kaanza kuwekeza lini na huyo Moise Katumbi kaanza kuwekeza ?

Au mnasema kufurahisha genge tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwekezaji a.k.a Kijana bilionea aliyewapa wachezaji wa Simba Zawadi ya bodaboda kwa kila mchezaji akisema zitawaongezea kipato nje ya mpira,sijui anataka wakitoka Tizi jioni wakapige deiwaka ya bodaboda.

Anyway ndio wawekezaji tuliobarikiwa nao hao.
Ulitaka awape nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda Bakhresa, na inaonyesha hana nia ya kuwa na timu yenye bajeti kubwa. Lakini angeweza kwa sababu uwezo anao.
Mo Dewji hawezi kuwekeza Bilioni 100 ilhali ana 49% ya umiliki na 51% wanayomiliki wanachama haifiki 10bn. Hiyo itakuwa biashara kichaa.
 
Acheni wivu wa kike, nyinyi mmeshindwa kuwekeza walau kwa mademu zenu mnakuja kusimanga mtu anayetoa billions kwenye timu ambayo hata faida haizalishi ?

Wekezeni kwenye ubongo kwanza ndiyo mmchallenge Mo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa,ukitoka hapo nenda kule twitter ukashirikiane na Makonda mkambembeleze Mo asije kususa kuidhamini simba.
 
Katumbi kawekeza kama $35 million kwenye uwanja uliokamilika 2011, na kwa sasa anataka ajenge mwingine kwa bei kama mara mbili ya uwanja wa kwanza maana wa zamani hautoshi. Pia inasemekena kawekeza kama $30m katika matumizi ya timu na academy aliyojenga. Na hiyo pesa aliyowekeza mpaka sasa haijarudi ila yeye anaamini wachezaji wa hiyo academy wakiuzwa labda hela ndio itarudi.


Nahisi huyu jamaa anazopesa nyingi inabidi forbes wamfatilie nahisi anaficha utajiri wake. Maana biashara zake nyingi anaziuza kwa mabeberu kwa bei isiyojulikana hata MCK aliuuza kwa necotrans mwaka 2015 kwa bei isiyojulikana. Yaani makampuni mengi kayauza kwa bei isiyojulikana.


Yaani anapesa nyingi zisizojulikana ambazo zinamuwashawasha muda wote.😂😂
 
Hahahaha sasa tukisema timu za kariakoo hazina uwezo wa kushinda a ktk usajiri wa kimataifa wanabisha.

Km zina ubavu zijaribu kuvunja mikataba ya wachezaji nguli Africa hapa ,wasisubiri wabure bure
Hiyo mikataba tutaivunja kwa maneno
 
Hahahaha sasa tukisema timu za kariakoo hazina uwezo wa kushinda a ktk usajiri wa kimataifa wanabisha.

Km zina ubavu zijaribu kuvunja mikataba ya wachezaji nguli Africa hapa ,wasisubiri wabure bure
Hiyo mikataba tutaivunja kwa maneno
 
Hiyo mikataba tutaivunja kwa maneno
Hahahaha ,hivi hizo timu zinaweza zinunue mchezaji $ 150,000 au $ 200,000 ? Bado mshahara hapo ,then waje wauze bei kubwa zaidi

Mpira biashara lkn Tanzania bado hatujafika level ya timu zetu kufanya biashara hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…