Jeuri ya pesa: TP Mazembe yakataa dau la Al Ahly kumuuza Jackson Muleka

Jeuri ya pesa: TP Mazembe yakataa dau la Al Ahly kumuuza Jackson Muleka

Katumbi dili za aina zote yumo tu na yule bro wake/Business Partner wake Soriano ni noma sana( mpk deal za kuuzia silaha serikali anafanya sana na ni mpigaji mzoefu tu).

Soriano alipewa na serikali ya Angola tenda ya kujenga nyumba 600,000 huko angola kwa $60bil,si mchezo.

Katumbi alipigwa fine na serikali ya Congo $6m yaani almost bil 14 za kwetu na hakulia lia,hapo ndipo wataelewa wana deal na mtu wa aina gani.
Sawa sawa Moise na kaka ake wamepiga sana dili , pamoja na walebanon akina Nazeem Nazembe, yaani Moise kifupi yuko vzr
 
Katumbi kawekeza kama $35 million kwenye uwanja uliokamilika 2011, na kwa sasa anataka ajenge mwingine kwa bei kama mara mbili ya uwanja wa kwanza maana wa zamani hautoshi. Pia inasemekena kawekeza kama $30m katika matumizi ya timu na academy aliyojenga. Na hiyo pesa aliyowekeza mpaka sasa haijarudi ila yeye anaamini wachezaji wa hiyo academy wakiuzwa labda hela ndio itarudi.


Nahisi huyu jamaa anazopesa nyingi inabidi forbes wamfatilie nahisi anaficha utajiri wake. Maana biashara zake nyingi anaziuza kwa mabeberu kwa bei isiyojulikana hata MCK aliuuza kwa necotrans mwaka 2015 kwa bei isiyojulikana. Yaani makampuni mengi kayauza kwa bei isiyojulikana.


Yaani anapesa nyingi zisizojulikana ambazo zinamuwashawasha muda wote.[emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa
 
Back
Top Bottom