Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Sawa sawa Moise na kaka ake wamepiga sana dili , pamoja na walebanon akina Nazeem Nazembe, yaani Moise kifupi yuko vzrKatumbi dili za aina zote yumo tu na yule bro wake/Business Partner wake Soriano ni noma sana( mpk deal za kuuzia silaha serikali anafanya sana na ni mpigaji mzoefu tu).
Soriano alipewa na serikali ya Angola tenda ya kujenga nyumba 600,000 huko angola kwa $60bil,si mchezo.
Katumbi alipigwa fine na serikali ya Congo $6m yaani almost bil 14 za kwetu na hakulia lia,hapo ndipo wataelewa wana deal na mtu wa aina gani.