Jeuri za masetela hawa wa kiyahudi ndio zinazohalalisha walichokifanya Hamas 7/10/2023 na kuwafanya wawe wakali kupigana bila kusalimu amri

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Mawaziri wakuu wastaafu wamekuwa mstari wa mbele kutafuta suluhu katika mapigano yanayoendelea.

Wameungana na maraisi na viongozi mbali mbali duniani kuhimiza kuwepo kwa taifa la Palestina sambaba na Israel.

Lakini bado kuna mawaziri ndani ya serikali ya Benjamin Netanyahu wanaungana na masetla wa kiyahudi wanaotaka wapalestina wahamishwe Gaza na ardhi zao zifanywe maeneo ya kujengwa nyumba mpya kwa ajili ya makazi yao kama vile wanavyofanya ukingo wa magharibi.

Misimamo kama hiyo tena katikati ya vita inadhihirisha kuwa walichokifanya Hamas kujitetea mbele ya misimamo ya mayahudi kilikuwa sahihi na hicho hicho ndicho kilichowafanya wapigane mpaka ushindi au wafe wakiwa mashahidi.

Waziri na mshauri wa ulinzi,Itamar Ben-Gvir pamoja na waziri wa fedha,Bezalel Smotrich ni miongoni mwa waungaji mkono wa kunyang'anywa haki na uraia wa wapalestina kwa faida zao na wengine kutoka nje ya Palestina.

Right-wing Israeli ministers join thousands at event calling for the resettlement of Gaza

Itapendeza zaidi na wewe ukienda kufa ukiwa Shahidi.
 
Back
Top Bottom