Jezi aliyovaa Michael Jordan fainali za NBA 1998 yauzwa Tsh. Bilioni 23.5

Hivi kwanini hiyo jezi iuzwe bei kubwa kiasi hicho?
 
Mbona unamuandama mwenzio hivyo mzabzab ....au unaogopa competition???😁 National Anthem anafurahia ujana wake kwanza, atatulia akiwa mzee πŸ™‚
Yeye kama anataka furahia ujan basi aseme nijue kuwa mrembo beauty beauty upo single nije tuyajenge moaka ndoa. Tumuache National Anthem apuyange na tako skonsi🀣🀣🀣🀣
 
Mbona unamuandama mwenzio hivyo mzabzab ....au unaogopa competition???😁 National Anthem anafurahia ujana wake kwanza, atatulia akiwa mzee πŸ™‚
🀠🀠 Uzuri mzabzab anajua hatuna hela na hatuna kazi tupo hapa kuzogoa weee, badae tule msosi wa shikamoo.. Hakuna mrembo wa kutukubalia maana hatuna hela ya kuhudumia
 
mzabzab hivi huyu melo si atufikirie hata kutupa u mod hapa, maana tunashinda humu kuliko ma mod wenyewe.. Au shida hatujui lugha ya kimalikia 🀠🀠
 
mzabzab hivi huyu melo si atufikirie hata kutupa u mod hapa, maana tunashinda humu kuliko ma mod wenyewe.. Au shida hatujui lugha ya kimalikia 🀠🀠
My friend i agree with u. Melo should indeed hire us becoz we do keep jf very active though one myt argue that our contributions grativate more towards the inane 🀣🀣🀣🀣.
Nonetheless, our contribution should be acknowledged.
 
Daaah! Mwenzangu unakichapa kizungu hivi 😊😊😊... Kweli Bro Melo afanye jambo, tukipata kazi humu nitaanza fikiria mbususu sasa
 
Duh...kweli wee wakunisema hivyo😲😲😲
Aisee sasa naamini maneno ya ndugu yangu national anthem.
Ndio maana nakuambia tusake hela, au melo atupe kazi 🀠🀠🀠🀠, ila kama tunaendelea kula msosi wa bure mambo mazuri mazuri tusahahu
 
Ebu imagine upo zako na mtoto lizzy, fukwe za caribbean.. Mnakula maisha hiiiii ujue ndio unakuwa upo mbinguni hapo kwa mda huu 🀠🀠🀠
Alafu mtoto lizzy mie ananifurahisha portion zake za vyakula....anajua kutunza mwili wake. Kwa ulaji wake ule unakuwa na uhakika hatakuja kuwa na litumbo
 
Alafu mtoto lizzy mie ananifurahisha portion zake za vyakula....anajua kutunza mwili wake. Kwa ulaji wake ule unakuwa na uhakika hatakuja kuwa na litumbo
🀠🀠🀠 Shape ni hatari, sijui wanasema ISO sijui SI-Unit, na ile rangi unajua kabisa ni mwili wenye joto.. Uta enjoy ukishinda kombe, nitakutamania πŸ˜ƒπŸ˜ƒ kuna watu wana raha dunia, ebu imagine ume muhag kwa furaha
 
Mie ni masikini na nitaendelea kuwa masikini sababu UNDEZI kama huu siwezi kuufanya. πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…