Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haliye ivaa sahivi ni G.O.A.THivi kwanini hiyo jezi iuzwe bei kubwa kiasi hicho?
Mbona unamuandama mwenzio hivyo mzabzab ....au unaogopa competition???😁 National Anthem anafurahia ujana wake kwanza, atatulia akiwa mzee 🙂Wewe bwana tulizana na Lizzy mbona unaanza kupuyanga tena
Yeye kama anataka furahia ujan basi aseme nijue kuwa mrembo beauty beauty upo single nije tuyajenge moaka ndoa. Tumuache National Anthem apuyange na tako skonsi🤣🤣🤣🤣Mbona unamuandama mwenzio hivyo mzabzab ....au unaogopa competition???😁 National Anthem anafurahia ujana wake kwanza, atatulia akiwa mzee 🙂
🤠🤠 Uzuri mzabzab anajua hatuna hela na hatuna kazi tupo hapa kuzogoa weee, badae tule msosi wa shikamoo.. Hakuna mrembo wa kutukubalia maana hatuna hela ya kuhudumiaMbona unamuandama mwenzio hivyo mzabzab ....au unaogopa competition???😁 National Anthem anafurahia ujana wake kwanza, atatulia akiwa mzee 🙂
🙌🙌🙌 Mie simo huko sio ligi zangu hizo, acha niendelee kunywa chai ya mama mzazi hapa.. Na kuosha vikombe.Yeye kama anataka furahia ujan basi aseme nijue kuwa mrembo beauty beauty upo single nije tuyajenge moaka ndoa. Tumuache National Anthem apuyange na tako skonsi🤣🤣🤣🤣
My friend i agree with u. Melo should indeed hire us becoz we do keep jf very active though one myt argue that our contributions grativate more towards the inane 🤣🤣🤣🤣.mzabzab hivi huyu melo si atufikirie hata kutupa u mod hapa, maana tunashinda humu kuliko ma mod wenyewe.. Au shida hatujui lugha ya kimalikia 🤠🤠
Daaah! Mwenzangu unakichapa kizungu hivi 😊😊😊... Kweli Bro Melo afanye jambo, tukipata kazi humu nitaanza fikiria mbususu sasaMy friend i agree with u. Melo should indeed hire us becoz we do keep jf very active though one myt argue that our contributions grativate more towards the inane 🤣🤣🤣🤣.
Nonetheless, our contribution should be acknowledged.
🤣🤣🤣🤣🤣Yeye kama anataka furahia ujan basi aseme nijue kuwa mrembo beauty beauty upo single nije tuyajenge moaka ndoa. Tumuache National Anthem apuyange na tako skonsi🤣🤣🤣🤣
Duh...kweli wee wakunisema hivyo😲😲😲🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu soon mashuleni wataanza kufundishwa kinyume cha ndoa = mzabzab
Umemuamlia leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu soon mashuleni wataanza kufundishwa kinyume cha ndoa = mzabzab
Ndio maana nakuambia tusake hela, au melo atupe kazi 🤠🤠🤠🤠, ila kama tunaendelea kula msosi wa bure mambo mazuri mazuri tusahahuDuh...kweli wee wakunisema hivyo😲😲😲
Aisee sasa naamini maneno ya ndugu yangu national anthem.
Kwwli kabisa huu msosi wa bure kwa madingi wetu unatufanya tukose warembo wakaliNdio maana nakuambia tusake hela, au melo atupe kazi 🤠🤠🤠🤠, ila kama tunaendelea kula msosi wa bure mambo mazuri mazuri tusahahu
Ebu imagine upo zako na mtoto lizzy, fukwe za caribbean.. Mnakula maisha hiiiii ujue ndio unakuwa upo mbinguni hapo kwa mda huu 🤠🤠🤠Kwwli kabisa huu msosi wa bure kwa madingi wetu unatufanya tukose warembo wakali
Alafu mtoto lizzy mie ananifurahisha portion zake za vyakula....anajua kutunza mwili wake. Kwa ulaji wake ule unakuwa na uhakika hatakuja kuwa na litumboEbu imagine upo zako na mtoto lizzy, fukwe za caribbean.. Mnakula maisha hiiiii ujue ndio unakuwa upo mbinguni hapo kwa mda huu 🤠🤠🤠
🤠🤠🤠 Shape ni hatari, sijui wanasema ISO sijui SI-Unit, na ile rangi unajua kabisa ni mwili wenye joto.. Uta enjoy ukishinda kombe, nitakutamania 😃😃 kuna watu wana raha dunia, ebu imagine ume muhag kwa furahaAlafu mtoto lizzy mie ananifurahisha portion zake za vyakula....anajua kutunza mwili wake. Kwa ulaji wake ule unakuwa na uhakika hatakuja kuwa na litumbo
Reputation yake kaitengeneza mwenyewe 😏Umemuamlia leo