Jezi au atlas?

Jezi au atlas?

☻☻☻☻☻
We mkia unataka kufananisha huu uzi na ile midekio yenu?
Screenshot_20200911-131753.jpg


Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Jezi ni Kali sema kunakitu kimoja hawakuwa makini.walitakiwa wawe wabunifu ingenoga.

RAMANI ya Afrika. Hapa ndio wabunifu kidogo wameteleza, Najua dhsmira yao ilikuwa ni kuleta maudhui na maana halisi ya Young Africa .

Lakini ukubwa wa mchoro Wa ramani hiyo imeharibu muonekano Wa jezi. Haswa ukizingatia ramani yenyewe kuweka ubavuni haikupi we we mtazamaji tafsir kamili.

Pendekezo langu ,japo ndo ishatoka nafkir kama wabunifu wangeona mbali haya ndo maeneo ramani ingekaa na kuleta muonekano mzuri

1 Chin ya Maandishi ya SPORT PESA hili ni eneo zuri kabisa kwani ingeliwekwa ramani ndogo ya wastani ingependeza zaidi

2 BEGANI
Kama hiyo Atlas ndo kiwakilishi cha African, Sasa kiwakilishi cha Young kiko wapi?

Wangeweka hata ramani ya Tanzania waitangaze nchi
 
Hizi jezi kila nikiziangalia nakumbuka kale ka wimbo pendwa ka "Tazama ramani utaona nchi nzuriiii" sijui nanii huko mbele daaa
 
Atlas Utopolo football club, baada ya kushindwa kushiriki kombe la Club binhwa Afrika, wameamua kujifariji,kwa angalau kapicha ktk Jezi, tuwaache waendelee kujifariji
 
Ramani ingekaa upande wa kulia ili watoto wa primary wanaojifunza ramani waone nchi yao Tanzania ipo sehemu ipi.sasa Tanzania hata aionekani ipo kwenye kwapa imefichwa.
 
Kijana naona unajipa moyo kulinganisha JEZI BORA barani Afrika na yale MADEKIO YA MTUMBA kutoka kkooo[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mwenye jezi hiyo ya kijani ya Yangu ani PM mana kila duka naambiwa zimeisha , ofa yangu elfu 50
 
Nilichogundua upande wa pili wanateseka sana poleni kwa maumivu makali mnayopata
 
Back
Top Bottom