Jezi au atlas?

Kama hiyo Atlas ndo kiwakilishi cha African, Sasa kiwakilishi cha Young kiko wapi?

Wangeweka hata ramani ya Tanzania waitangaze nchi
 
Hizi jezi kila nikiziangalia nakumbuka kale ka wimbo pendwa ka "Tazama ramani utaona nchi nzuriiii" sijui nanii huko mbele daaa
 
Atlas Utopolo football club, baada ya kushindwa kushiriki kombe la Club binhwa Afrika, wameamua kujifariji,kwa angalau kapicha ktk Jezi, tuwaache waendelee kujifariji
 
Ramani ingekaa upande wa kulia ili watoto wa primary wanaojifunza ramani waone nchi yao Tanzania ipo sehemu ipi.sasa Tanzania hata aionekani ipo kwenye kwapa imefichwa.
 
Kijana naona unajipa moyo kulinganisha JEZI BORA barani Afrika na yale MADEKIO YA MTUMBA kutoka kkooo[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
Mwenye jezi hiyo ya kijani ya Yangu ani PM mana kila duka naambiwa zimeisha , ofa yangu elfu 50
 
Nilichogundua upande wa pili wanateseka sana poleni kwa maumivu makali mnayopata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…