JEZI! JEZI! JEZI! Zinahitajika haraka!

JEZI! JEZI! JEZI! Zinahitajika haraka!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Jamani zinahitajika jezi za wapinzani wa simba kwenye kombe la CUF, Es Setif tukawashangilie kwa nguvu zote siku hiyo,nasikia zimeanza kuuzwa mtaani.tafadhali wana jf nipeni maelekezo pa kuzipata.BUT kama ni za rangi nyekundu ,basi tusiwasiliane.!
 
CUF ipi mkuu ile Hamad Rashid au ya Maalim?
 
ni kombe la hadhi ya chini kidogo baada ya lile waliloshiriki yanga ,kirefu chake ni CUP UNITED FRONT
 
Back
Top Bottom