Daniel Mwinula
JF-Expert Member
- Jul 15, 2012
- 302
- 328
Ng'ombe wewe hao wabeba mizigo ndo wafia simba
Kule mlimani pasikie tu mkuu, hawaendi wenye afya mbovu kule.
Unataka picha au jezi? Kama ni picha sema nikuwekee, ila kama ni jezi, nenda Sandaland, Vunjabei, Dauda Sports Store au Mr. Punguzo utajipatia jezi muruaNa sidhani kama mwaka huu SIMBA ikawa na picha za uzinduzi wa jezi zao..!!
Mwenge wa Uhuru ulipandishwa na Wanajeshi pale kilele cha mlima Kilimanjaro mbona Nyerere hakuwepo na ilifana sana.Ni jambo zuri sana kuzindua jezi sehemu ya kiutalii kama Mlima Kilimanjaro. Lakini ingekuwa ni jambo zuri zaidi kama ingekuwa ni sehemu ambayo uongozi mzima ungekuwa unaweza kufika…!!! Na sidhani kama mwaka huu SIMBA ikawa na picha za uzinduzi wa jezi zao..!!
Jezi kuzinduliwa na wapagazi, sio jambo linalovutia sana, japo naamini ingekuwa na maana zaidi kama INGEZINDULIWA KWANZA, halafu kibegi kingepandishwa…!!!
Ni hayo tu…!!
CEO Imani Kajula..ila yeye hataki kujikweza anasema ni wazo la Menejimenti na Bodi.Ila Idea ya KIBEGI imetesa Watu.!
Hivi ni nani master mind Wa KIBEGI..?
KIBEGI kimeleta mdororo Siku ya Wananchi..!
Weka picha hater weweNi jambo zuri sana kuzindua jezi sehemu ya kiutalii kama Mlima Kilimanjaro. Lakini ingekuwa ni jambo zuri zaidi kama ingekuwa ni sehemu ambayo uongozi mzima ungekuwa unaweza kufika…!!! Na sidhani kama mwaka huu SIMBA ikawa na picha za uzinduzi wa jezi zao..!!
Jezi kuzinduliwa na wapagazi, sio jambo linalovutia sana, japo naamini ingekuwa na maana zaidi kama INGEZINDULIWA KWANZA, halafu kibegi kingepandishwa…!!!
Ni hayo tu…!!
Utokolo kaivent kenu kamedoda huko mnahangaika kuipromote jezi ya SimbaNi jambo zuri sana kuzindua jezi sehemu ya kiutalii kama Mlima Kilimanjaro. Lakini ingekuwa ni jambo zuri zaidi kama ingekuwa ni sehemu ambayo uongozi mzima ungekuwa unaweza kufika…!!! Na sidhani kama mwaka huu SIMBA ikawa na picha za uzinduzi wa jezi zao..!!