Jezi kuzinduliwa mlimani, na wabeba mizigo ya watalii bila uongozi, sio jambo linalovutia sana

Daniel Mwinula

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
302
Reaction score
328
Ni jambo zuri sana kuzindua jezi sehemu ya kiutalii kama Mlima Kilimanjaro. Lakini ingekuwa ni jambo zuri zaidi kama ingekuwa ni sehemu ambayo uongozi mzima ungekuwa unaweza kufika…!!! Na sidhani kama mwaka huu SIMBA ikawa na picha za uzinduzi wa jezi zao..!!

Jezi kuzinduliwa na wapagazi, sio jambo linalovutia sana, japo naamini ingekuwa na maana zaidi kama INGEZINDULIWA KWANZA, halafu kibegi kingepandishwa…!!!

Ni hayo tu…!!
 
Na hiki ndicho kilicho dodesha siku yenu ya mwananchi
 
Ng'ombe wewe hao wabeba mizigo ndo wafia simba
 
Umejuaje kama ni mashabiki wa Simba?? Hata ingekuw mimi ndo kazi zangu, na hela ipo, kuvaa jezi yako nikapokea hela yko NAPANDA TU.

Kuona wamevaa jezi, hakumaanishi ndo wafia Simba
 
Na sidhani kama mwaka huu SIMBA ikawa na picha za uzinduzi wa jezi zao..!!
Unataka picha au jezi? Kama ni picha sema nikuwekee, ila kama ni jezi, nenda Sandaland, Vunjabei, Dauda Sports Store au Mr. Punguzo utajipatia jezi murua
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Ni jambo zuri sana kuzindua jezi sehemu ya kiutalii kama Mlima Kilimanjaro. Lakini ingekuwa ni jambo zuri zaidi kama ingekuwa ni sehemu ambayo uongozi mzima ungekuwa unaweza kufika…!!! Na sidhani kama mwaka huu SIMBA ikawa na picha za uzinduzi wa jezi zao..!!

Jezi kuzinduliwa na wapagazi, sio jambo linalovutia sana, japo naamini ingekuwa na maana zaidi kama INGEZINDULIWA KWANZA, halafu kibegi kingepandishwa…!!!

Ni hayo tu…!!
Mwenge wa Uhuru ulipandishwa na Wanajeshi pale kilele cha mlima Kilimanjaro mbona Nyerere hakuwepo na ilifana sana.
Kama hukuwepo hata historia hujasoma?
Imeisha hiyo.
 
Ila Idea ya KIBEGI imetesa Watu.!

Hivi ni nani master mind Wa KIBEGI..?

KIBEGI kimeleta mdororo Siku ya Wananchi..!
CEO Imani Kajula..ila yeye hataki kujikweza anasema ni wazo la Menejimenti na Bodi.
 
Ni jambo zuri sana kuzindua jezi sehemu ya kiutalii kama Mlima Kilimanjaro. Lakini ingekuwa ni jambo zuri zaidi kama ingekuwa ni sehemu ambayo uongozi mzima ungekuwa unaweza kufika…!!! Na sidhani kama mwaka huu SIMBA ikawa na picha za uzinduzi wa jezi zao..!!

Jezi kuzinduliwa na wapagazi, sio jambo linalovutia sana, japo naamini ingekuwa na maana zaidi kama INGEZINDULIWA KWANZA, halafu kibegi kingepandishwa…!!!

Ni hayo tu…!!
Weka picha hater wewe
 
Utokolo kaivent kenu kamedoda huko mnahangaika kuipromote jezi ya Simba
 
Watu tuko busy muda huu kufuatilia utambulisho wa wanajeshi wetu wa msimu mpya wa ligi.
 
Si kila mtu anaweza kufika kileleni,Kupanda kilimanjaro sio kupanda bodaboda
 
Back
Top Bottom