Kama yanga wanadhani wamefanya ubunifu basi wamekosea sana kwani kuna jezi yao ile yenye mistari kwa chini ni kama jezi ya netball.
Mwanzoni nilijua kwa vile kwenye logo yao kuna yule mtu kama mganga wa kienyeji tuliambiwa ni alama ya netball, basi wametoa na jezi za netball kabisa. Ajabu nikamuona Morrison kaivaaa na baadhi ya watu wanaisifia.
Waliotowa jezi ni Simba, imekuwaje unaongelea jezi za Yanga leo?Kama yanga wanadhani wamefanya ubunifu basi wamekosea sana kwani kuna jezi yao ile yenye mistari kwa chini ni kama jezi ya netball.