Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Uzi wa msimu huu unaoisha ni wakawaida sana tofauti na miaka ya nyuma.Kama kawaida uzi wa arsenal utakuwa wa motooo, shida chama langu matokeo uwanjani.
Umemuovertake @FORTALEZA
Tulia kwanza mkuu...wakitoa utaziona hapahapaWapi vunja bei!!!
Kwanini?Umemuovertake @ FORTALEZA
Ngoja tuone Adidas watakujaje msimu huu kwa ArsenalKama kawaida uzi wa arsenal utakuwa wa motooo, shida chama langu matokeo uwanjani.
Huu uzi umekwenda shule .Bayern Munich home kit 🔥🔥🔥
View attachment 2212642
View attachment 2212643
View attachment 2212644
View attachment 2212645
Nilisikia wanaachana na Adidas wanarudi kwa Puma tena... hiv n kweli?Ngoja tuone Adidas watakujaje msimu huu kwa Arsenal
Kila msimu yeye anakuwa wa kwanza Ktk mada ya Jezi mpya za msimu . Kikubwa kuendendea haki kama mdau @FORTALEZA kwa kuleta updates mara kwa maraKwanini?
Hapana mkuu, bado wapo na mkataba na Adidas hadi 2024Nilisikia wanaachana na Adidas wanarudi kwa Puma tena... hiv n kweli?
Pamoja sanaKila msimu yeye anakuwa wa kwanza Ktk mada ya Jezi mpya za msimu . Kikubwa kuendendea haki kama mdau @FORTALEZA kwa kuleta updates mara kwa mara