Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #301
Unaona wivu huna lolote!Mkwe Mimi sivai vitenge.
Kwakweli mkwe sijawahi kuona jersey mbovu Kama ya yanga
Njoo haraka unikandeUnaona wivu huna lolote!
Subiri tar 8 ifike nikukande
Subiri tar 8 mkwe! Ila usilie tuNjoo haraka unikande
Yaan nije Leo unikande chaapSubiri tar 8 mkwe! Ila usilie tu
Acha bhangi! Twende kanisani mkweYaan nije Leo unikande chaap
Nimesali Kwa Kuhani Musa.Acha bhangi! Twende kanisani mkwe
Umeniombea?Nimesali Kwa Kuhani Musa.
Kweli kabisa , na France white kwangu Mimi ndio jezi Kali zaidi mwaka huu.Kweli aisee hata france wamewatolea jezi kali sana ile mistari ni ubunifu mkubwa sana
Yes, nimekuombea unifungulie pmUmeniombea?
As Roma , hawajawahi kuniangusha.AS Roma home kitView attachment 3051669
Sawa mkwe! Endelea kuomba Mungu atasikia kilio chakoYes, nimekuombea unifungulie pm
Puma Msimu huu , wamezingua sana hata upande wa Masandawana kazi mbovu sana.Dortmund jezi ya mechi za MakombeView attachment 3051672
Huu Uzi umeenda shule