Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hio jezi sijawahi ikubaliHebu imagine timu inavaa jezi imeandikwa namba 3 kifuani, huo kama sio uchuro ni nini? Ni kujitabiria vipigo vya kufungwa magoli matatu na kuendelea katika mechi zake! View attachment 1504016
West ham walianza kwa kumpiga 3
Tangu wapate hizo jezi ni mwendo wa tatu tatu tu!!
Tatizo Ni jezi au logo ya mdhamini?Hebu imagine timu inavaa jezi imeandikwa namba 3 kifuani, huo kama sio uchuro ni nini? Ni kujitabiria vipigo vya kufungwa magoli matatu na kuendelea katika mechi zake! View attachment 1504016
Tatu mzukaNa bado wana mechi na Wolves na Liver
Tatu mzuka
Wakishinda ni 3, na wakifungwa ni tatu!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ibadilishwe jina iitwe hatrick tu au triplet fc!
Nilistuka mara ya kwanza namuona Abraham mbele kuna tatu nikadhani kachange number.[emoji846]. Afadhari hata Arsenal walistuka na kuweka ile advert ya “visit Rwanda” mkononi
Tangu wapate hizo jezi ni mwendo wa tatu tatu tu!!