Jezi mpya ya Chelsea inatabiri nuksi mbaya kwa timu hiyo

Jezi mpya ya Chelsea inatabiri nuksi mbaya kwa timu hiyo

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hebu imagine timu inavaa jezi imeandikwa namba 3 kifuani, huo kama sio uchuro ni nini? Ni kujitabiria vipigo vya kufungwa magoli matatu na kuendelea katika mechi zake!
IMG_3038.JPG
 
Nilistuka mara ya kwanza namuona Abraham mbele kuna tatu nikadhani kachange number.🙂. Afadhari hata Arsenal walistuka na kuweka ile advert ya “visit Rwanda” mkononi
 
Wakishinda ni 3, na wakifungwa ni tatu!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ibadilishwe jina iitwe hatrick tu au triplet fc!
 
Nilistuka mara ya kwanza namuona Abraham mbele kuna tatu nikadhani kachange number.[emoji846]. Afadhari hata Arsenal walistuka na kuweka ile advert ya “visit Rwanda” mkononi

Kwahyo Arsenal bi wajanja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom