Mpelekee Fundi Maiko akubadilishie kolaNimeinununua moja ya kijani, kitambaa ni bomba sana lakini imeshaniudhi shingoni.
Material waliyoweka kuzunguuka shingo sio laini (soft) kiasi cha kutia karaha kwenye ngozi na mishipa ya singo pale inapogusa sehemu hizo. Kama wangebadilisha kitambaa kinachozunguuka shingo ingekuwa nzuri sana, vinginevyo ile shingo nyembamba inakwangua na kuikaba shingo.
Mimi nina jezi moja ya FIFA nilikuwa naikubali sana, ikaja kuachia kwenye kwapa yaani tundu kuubwa. Sikuona aibu nikaipeleka kwa fundi aishone.kwaaakweliii
shida ya jezi ya yanga sio hiyo, iko vizuri sana, ila shingo yake ni nyembamba na kitambaa cha shingo ni kizito sana na sio smooth enough kwa comfortability kama ikigusa shingoMimi nina jezi moja ya FIFA nilikuwa naikubali sana, ikaja kuachia kwenye kwapa yaani tundu kuubwa. Sikuona aibu nikaipeleka kwa fundi aishone.
Najua unachosema. Material ya kola ni ya fulana ya kawaida na siyo ya jezi. Picha tu zilivyotoka nililiona hilo.shida ya jezi ya yanga sio hiyo, iko vizuri sana, ila shingo yake ni nyembamba na kitambaa cha shingo ni kizito sana na sio smooth enough kwa comfortability kama ikigusa shingo