Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

Jezi Mpya za Klabu mbalimbali kwa ajili ya Msimu Ujao 2020/2021

Ac Milan away kit
IMG_3669.JPG
 
Puma wamechukua jezi ya away ya Arsenal kwa msimu wa 2017/18 na kuifanya jezi ya away ya Ac Milan kwa msimu huu
IMG_3679.JPG
IMG_3669.JPG
 
Hizo zinavyatuliwa tu uswekeni

Jezi original(original replica) za timu kubwa ni £80-120,ambayo hii ni 250k kwenda juu
Vipi kwa hapa bongo ni maduka gani wanauza jezi og au ndo mpaka ununue online
 
Hawa Adidas wanaotengeneza jezi zetu GUNNERS, na timu kama Real Madrid, Juventus, Lyon n.k, ninhawa hawa wanaotengeneza jezi za nyumbuyunaitedi au???[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]

Mbona jezi zao mbaya sanaaa
 
Back
Top Bottom