Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #261
Kelme wamerudi sasaWatford home kitView attachment 1543829
Kelme wamerudi sasa
Kelme wamerudi sasa
Kelme wamerudi sasa
Arasenal hawajawai kosea kwenye kuchagua UziIla Arsenal uzi mkali sana, matokeo ndio kashesheView attachment 1522748
Chelsea away kitView attachment 1522739
[emoji91][emoji91][emoji91]Roma home kitView attachment 1522738
Aah! Puma wameanza mambo ya ajabu nao?!Puma wamechukua jezi ya away ya Arsenal kwa msimu wa 2017/18 na kuifanya jezi ya away ya Ac Milan kwa msimu huuView attachment 1543864View attachment 1543865
hii hata ukisimamisha pisi kalii inajikuta ishatoa number bila kuombwaJuventus third kitView attachment 1543845
Vipi kwa hapa bongo ni maduka gani wanauza jezi og au ndo mpaka ununue onlineHizo zinavyatuliwa tu uswekeni
Jezi original(original replica) za timu kubwa ni £80-120,ambayo hii ni 250k kwenda juu
Bongo huwezi kupata..order tu Online kupitia maduka ya klabuVipi kwa hapa bongo ni maduka gani wanauza jezi og au ndo mpaka ununue online
Sawa mkuuBongo huwezi kupata..order tu Online kupitia maduka ya klabu
Hawa puma n mbumbumbu sanaPuma wamechukua jezi ya away ya Arsenal kwa msimu wa 2017/18 na kuifanya jezi ya away ya Ac Milan kwa msimu huuView attachment 1543864View attachment 1543865