Clean and Fresh..
Sawa mkuuMkuu jezi mbona hamna..leta mambo
Mpaka post ya mwisho nimeona Uzi wa nyumbani wa Madrid ndio the best umefunika mbaya...
Hajauona huyu mpaka sasa asenoVipi ule wa Arsenal wa ugenini?
Barca wameleta kituko cha mwaka
Hadi sasa uzi mkali niliona ni wa Intermilan
Wamezingua sana mkuuBarca wameleta kituko cha mwaka
WamejitahidiHadi sasa uzi mkali niliona ni wa Intermilan
Wameweza sio wamejitahidiWamejitahidi
Juve hawajawahi kukosea kwenye jezi wazee wa black and whiteNyieee Juve wameua hukuView attachment 1789579
Huyo jamaa wa katikati anapiga faulo ohooooo akipiga freekick hakosi kudadeki yaani kama mchawi
James Ward ProwseHuyo jamaa wa katikati anapiga faulo ohooooo akipiga freekick hakosi kudadeki yaani kama mchawi
Nimezikubali kwa kweli.