Jezi mpya za timu mbalimbali kwa msimu ujao 2021/2022

Jezi mpya za timu mbalimbali kwa msimu ujao 2021/2022

Mnawakumbuka Stoke City, wababe wa zamani kwenye EPL basi huu ndio uzi wao wa nyumbani

9CCF43D4-B0CD-4E06-B429-3AF94BDD3CC3.jpeg
 
Hii ni special, japo ni ya timu ya Taifa ila kutokana na uzuri wake nimeona niiweke.

katika kuazimisha miaka 100 ya chama cha soka cha Japan, Adidas wakatengeneza jezi hii maalum! Naipa 10/10 yaaani🔥🔥🔥itoshe kusema ni ya kibabe sana💪🏻💪🏻💪🏻

729B0614-D991-46ED-B5D4-1DFFD344E42A.jpeg
 
Back
Top Bottom